The Prophet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 682
- 94
huu uzi niliu-upload Jamii Intelligence, lakini nikapata kimeseji ambacho hata sikukielewa.
Anyway, swali langu ni dogo tu. nataka kujua. kwa nini katika sentensi ama matamshi mengi, herufi 'e' huwa ina frequency kubwa ukilinganisha na herufi zingine.
hebu jaribu kuhesabu hata hiyo title ya thread...utagundua kuwa 'e' imetokea mara nyingi zaidi.
kwa nini?
mwenye ufahamu atujuze.