JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sina maneno Sina maneno, ila ukweli ndiyo huu
5 Reactions
14 Replies
691 Views
Walio sema Shule ni Ufunguo wa Maisha wametupiga na kitu kizito Kama ni kweli mbona wasomi wengi bado wanahangaika na Maisha? Sahihi ni kusema Shule ni Ufunguo wa Maarifa Ni hayo tu!
11 Reactions
55 Replies
1K Views
Nakusalimia tu boss wangu uliye mbali na mboni ya macho yangu Haiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!,umenizururisha kwenye hilo jiji ,kidogo nilifahamu, nilieenjoy Nitarudi tena,nakumis , nakumiss, nakumiss...
31 Reactions
237 Replies
5K Views
Nimekutana na Mwamba hajali kubabake tuwe tunasoma kilichoandikwa kwenye nguo
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Hili wala halina Ubishi kuwa Suala la Bahati na Nuksi itokayo kwa Mtu au Watu fulani ina Nguvu Kubwa mno katika Mafanikio ya Jambo au Mkakati fulani. Kuna Watu ukiwa nao katika Familia au Taasisi...
0 Reactions
17 Replies
901 Views
Wanaume, Usipoteze muda kurekebisha sahani ambayo hujaivunja wewe..
4 Reactions
3 Replies
292 Views
Mko salama wakuu? Jana nikakutana na jamaa zangu flani ambao saivi ni madereva wa IT,tukapiga tungi weee nikaona jamaa wanachanganya kuberi na konyagi kuwauliza wanasema eti inakata...
2 Reactions
18 Replies
744 Views
Kwema wakuu. 1. WAPO WATU wanaodai radi ni jogoo, na mtabishana sana ukipinga kwamba sio jogoo. Wanadai mvua ikinyesha jogoo yuko nje, kuna uwezekano mkubwa wa radi kupiga eneo hilo. Je ni kweli...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Noma sana. Nilikua bored sana nikaona nitafute sababu ya kuwa na furaha leo😅😅😅 Baada ya kutengeneza CV kwa dakika 10 kupitia Hii AI nikaona nianze kujifurahisha
10 Reactions
228 Replies
7K Views
Wana jf niaje, Kazi gani ngumu uliyowahi kufanya katika maisha yako?
1 Reactions
21 Replies
958 Views
Habari wakuu Mara ya kwanza kujiunga na huduma za kibenki nilienda kwenye tawi la benki wakanisajili ikafika mda wa kufanya kadi iwe active. Nimeenda kwenye ATM na yule mhudumu akaiweka kadi ndani...
63 Reactions
360 Replies
14K Views
Tunaomba Bunge Lipitishe Sheria Turuhusiwe Kuwapiga Makofi Mashabiki Wa Simba Bila Sababu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ili kuendelea kusherekea ubingwa wa wananchi Kwa...
5 Reactions
12 Replies
468 Views
Swahili AI salamu zako ndugu🤣 Vijana wengi wanafurahia picha zako quality kwenye kile kijiwe pendwa ni basi tu wanajifanya hawataki kuku-appreciate
8 Reactions
6 Replies
570 Views
Nategemea kufika saa 4 za usiku huu,mwana jf aliyena usafiri naomba unipokee stand ya Magufuli,njoo pm nikupe namba Kama upo serious Asanteni
21 Reactions
303 Replies
8K Views
Ambazo sio code za kiume. 1.Havai kipensi/ bukta fupi Inaonyesha mapaja. 2.Hali chips mayai zege...hata akila chips yai mayai ni pembeni sio zege. 3.Hanunui IPhone Na Kupiga nayo picha ili...
2 Reactions
4 Replies
401 Views
Hivi unajua tofauti kati ya uzuri na utamu...😊 Hivi ni vitu viwili tofauti japo unaweza uvipate sehemu moja, na wakati mwingine unaweza kupata kimoja kingine kikakosekana. Nijuacho mimi ni...
6 Reactions
12 Replies
558 Views
Habari za muda huu watanzania, Mimi ni mwanamke tena mtanzania mwenzenu naishi Dar es salaam, lakini katika maisha yangu sijawahi kutumia usafiri wa ndege, natamani sana na mimi siku moja nifika...
30 Reactions
155 Replies
4K Views
Nafungua codes. Mwanaume ukishakuwa na vitu vifuatavyo we subiri tu kufa. 1. Gari(BMW,Mercedes Benz, Ferrari) 2. Laptop (Macbook Pro, Lenovo thinkpad,lazer blade Pro 17, HP Zbook 3. Apartment...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Mvumilivu hula mbivu Hatimaye Lucas Mwashambwa sasa ni mheshimiwa Mimi na Mzee Mgaya tunamtakia kila la kheri Mungu wa mbinguni Ibariki JF 😁🙏
11 Reactions
99 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…