JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nachukuwa nafasi hii kuwaaga, mie naanza likizo. Likizo sio lazima uajiriwe. Likizo ni mapumziko. Jitahidini nanyi muwe mnapumzika. Hata mumeo/mkeo uwe unampa likizo apate muda wa kutoka nje ya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa wadada: ingekuwa je kama huyu ndio best yako kapewa nafasi kuongea siku ya harusi yako. Kwa wakaka: Unekuwa wewe ni bwana harusi ungejisikia je?
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Ni wangapi kwanza wanazijumbuka? Hii ilikuwa bidhaa adimu boarding school. Enzi hizo ukienda Posta wanakuambia wanauza 20 tu kwa kila mteja
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema Hapo juu twende moja kwa moja kwenye mada. Utakuta asubuhi sisi akina baba ukitaka kumpa pesa za matumizi mkeo. Unampa ndani chumbani, mama akitoka pale wewe...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii sidhani kama inafaa.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi nakumbuka kipindi hiko kama unakwenda kuchunga mifugo upo nayo mkononi kwenda kulima na kupalilia mazao lazima Kaseti iwe pembeni bila Kaseti kipindi hiko nisawa na kijana wa sasa bila...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Am so sorry to write this... Na si kawaida yangu kuandika hiki ninachoandika.. But like anybody else... Nina hisia kama wengine.. Nina matamanio kama wengine..... Nina upweke kama wengine...
31 Reactions
496 Replies
23K Views
Scandinavia walianzisha utaratibu wa kulipa deposit chupa za pombe wakati wa manunuzi. Ukirudisha chupa unapewa hela yako. Uingereza wanaanzisha mpango huo mwisho wa mwaka huu. Nikiangalia huu...
7 Reactions
9 Replies
912 Views
huku kwetu bwana aloo,mapenzi yalipo zaliwa ni soo,kuna goma likipigwa kiboko,mwari hakirudi harusini,harusini, utakuta watu wakicheza sukuma mama sukuma,mwanangu sukuma,kidogo dogo sukuma,mwana...
5 Reactions
198 Replies
61K Views
Mke wa maana kabisa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
*Wako wapi wanaume majasiri kama huyu* *Wife :Baby leo nimeona iphone8 kwenye duka la simu mjini, ni nzuri[emoji7] *Husband : Vipi umeipenda *Wife: Nimeipenda sana mpenzi...
9 Reactions
6 Replies
2K Views
[emoji23] [emoji23]
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Ni wachache sana ambao hukubaliana na hali zao!!,wengi huishi kwa nyoa mara kwa mara nyelwe zinazochipuka kwa pembeni,,nashauri wapewe Bima za kunyolewa
5 Reactions
13 Replies
3K Views
YALE MAANDAMANO YA TAREHE 26 YAMEHAIRISHWA HADI 26 DECEMBER MWAKANI. samahani ili kupata taarifa lala uone kama ni ndoto. sijawahi ota ndoto halafu ikawa tofauti. usingizi zzzz NB:ni kuhusu...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Fikiri kwanza kabla ujatamani, usije kujuta. Waraghai wa mapenzi sasa hivi wako wengi sana, utasikia demu anakuingilia messenger nitumie nauli mie nipo mwanza nakuja dar kwa ajiri yako Kumbe...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Najuaa itachoma kama pasi lakini mkubali mkatae wanaume wanaojielewaa na wa maana wapo PM ,sio hawa nguchiro tunaokimbizana nao na kuchambana nao kwenye thread, mwanaume 24/7 yupo active ukipost...
1 Reactions
216 Replies
12K Views
Ule mwendelezo wa Wanachma wa cha mapinduzi kuipenda kilabu ya Yanga inazidi kujidhihirisha, na awamu hii kuna tetesi kuwa billionaire aliyejizolea umaarufu siku za hivi karibuni Dr Luis Shika...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanabodi,habari za Jumatatu! Tukiwa tumeianza wiki kuu kwa ajili ya hitimisho la kipindi cha Kwaresma, jana Jumapili( Matawi) nilipigwa na butwaa. Nikiwa mmoja wa waumini niliyehudhuria ibada...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Huyu kaka nampenda sijui namtamani ila ndo vile akiweka picha yangu dp ananiburudisha sana. Baby nakusubiri urudi tuendelee. Yours S....n
32 Reactions
779 Replies
53K Views
Yaani avatar yako imefanana na ustaarabu wako humu ndani ya JF. Kama iyo avatar ni muonekano wako na haujaolewa naomba niwe mumeo tafadhali.
8 Reactions
532 Replies
21K Views
Back
Top Bottom