Wadau;
Nimewahi kwenda katika hospitali na kuandikiwa vipimo pamoja na dawa na wataalam wa tiba.Sina shaka na uwezo na utaalamu wao bali ninahoji iwapo ni busara kufanyan background check kwa tiba...
I bet you were a cute baby and everyone around fell in love with you immediately! Happy Birthday to the girl who has stolen my and relato heart!
You have been so wonderfull to me and to My best...
Habari za asubuhi wapendwa wangu.
Kama kichwa cha habari kinavyosema.
Wengi wetu tunalalamikia kukaza kwa vyuma, ni kweli vimekaza lakini mbona akijitokeza mtu alainishe japo kidogo hamtaki...
Habari za majukumu wakubwa na wadogo zangu.
Kwanini watu wengi wanapokuwa bafuni wakiwa na nguo ya juu na chini (suruali na shati) huanza na shati badala ya suruali?
Jichunguze wewe na mwenzi...
Watu wengine wajinga sana,
Jana nimekaa na jamaa mmoja siti jirani kwenye basi tokea tunaanza safari kutoka Dar ubungo terminal tunaenda Morogoro .
Basi Jamaa ananunua vitu anakula kula...
Happy birthday to ME.Thanks almighty God for another year nazeeka sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] #humble#charming#philanthropist#gunnerhardfan#
NB:Wazee wa chupa tutakua tunakiwasha mida ya...
Ebu dondosha ushauri wako hapa kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu especially wale wanaopewa mikopo ya kimasomo(Ada) na pesa za kujikimu katika kupambana na hali ya maisha yaliopo mtaani...
Moja kwa moja kwenye mada Mimi ni kijana sijaoa natafuta mke humu jf sababu zakutaka wanawake wahumu wameelimika na wanajua mambo mengi ya dunia
Nawasilisha
Mwanza-Ukerewe
Muda huu limepeta tetemeko La ardhi, eneo la nansio Ukerew limedumu kwa sekunde kati ya 3-5 .
Nadhan tulio karibu na ziwe ndio tumelisikia vizur.
Wanaume ni viumbe ambao kiasili na kimaumbile ni wenye nguv(masculine). Bahati mbaya wale ambao wasio na misuli sana ndio udhaifu wetu. Kwa udhoefu wangu wa maisha, hii ni mitego yetu wanaume.
1...
Maandalizi ya mapenzi siku hzi utafikiri unataka kupika pilau... Mara KY, condom, mafuta ya massage, Congo dust, pembeni redbull au roobust, maji makubwa na Konyagi [emoji23]
Bado hujala mihogo...
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Nimecheza sana na hii kitu na mpaka leo nikikutana nayo siwezi acha lazima nizibonye
LEO NIMEKUJA NA HII LIST YA MAGROUP MAARUFU YA FACEBOOK.
NCHI NYINGI ZILIZOENDELEA UKIINGIA GOOGLE UKISEARCH MAGROUP YA FACEBOOK YA NCHI YOYOTE UNAYOITAFUTA UTAKUTANA NA LIST NYINGI SANA LAKINI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.