JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jf ni a community ambayo ina mchanganyiko wa watu mbalimbali, wengine wanaweza wakakukasirisha na wengine wakakufurahisha, katika kujumuika na watu huku. Mtu unatokea kuvutiwa na watu mbalimbali...
0 Reactions
315 Replies
13K Views
Hivi nyie wanawake kwa nini mkiwa mnacheza mziki lazima muyatikise makalio yenu na kuinama inama hovyo? Mnafanya hivyo ili iweje sasa? Ina maana stail zote hamjaziona isipokuwa hiyo tu? Tena...
2 Reactions
53 Replies
9K Views
sijui ni ushamba wangu ama vipi,hivi vyoo vya sinki kila nikijitahidi(hasa vya kukaa)naona ukiwa unashusha kontena za makonda maji yarukia kwenye makalio. Sasa ni mimi tu,ama ni asili yake hata...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Nimefanya kautafiti kangu ka muda mrefu kidogo hatimaye nimegundua kuwa 65% ya wana jf wanakaa dar.
9 Reactions
197 Replies
12K Views
Yan huwa sielewi kwa nini napenda kubambia mademu na kushika shika makalio yao Sielewi kwa nini Niambieni hivi ni kwa nini?
2 Reactions
74 Replies
22K Views
Wakuu leo nataka kujua wasichana wa kishua na wa uswazi wapi ni wako vizuri katika maeneo haya 1) wapi wanajua kulienzi penzi kati ya wanawake wa ushuani na wanawake wa uswahilini 2)mademu wa...
1 Reactions
87 Replies
14K Views
Tunaopenda kiki na sifa za kijinga tukutane hapa tupeane mbinu mbalimbali za kupata kiki zaidi na kusifiwa sifiwa.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Jamani eeh ,,,nimepiga chabo semester nzima na nimehudhuria vipindi vichache sana na kusoma kwangu naona uvivu sana Pepa zote nimefaulu kwa chabo kwa kuigilizia kwa wenzangu au kuingia na simu...
2 Reactions
121 Replies
9K Views
Inabidi uongozi wa jamii forums waongeze kipengele cha voice note kama wasapu.
1 Reactions
51 Replies
3K Views
Msaada wakuu ,nimekuwa nikijiskia katili sana nikila nyama hasa za kuku najiskia vibaya sana naona mpaka huruma kumkatishia uhai wake kiumbe mwenzangu . Hali imekuwa mbaya zaidi siku hizi hata...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Uyu demu nachukia kweli mambo anayoyafanya Ajieshimu ata kidogo
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Eti wadau kati ya Dar na Arusha wapi kuna wahuni wengi? Wapi kunaongoza kwa matukio ya kikatili ikiwemo kuchomana bisibisi nyembe nk?
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Leo nimemuota sky eclat ila ubaya sikumbuki lolote la maana nililomuotea ila Natamani ile ndoto irudi tena maana nakumbuka kuna kipande kama nilikuwa nafanya naye mapenzi vile. Ile kuamka...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Kwa wale ambao tuna IQ ndogo huu uzi ni maalum kwa ajili yetu Tujifunze namna ya kupambana na hali zetu. Karibuni.
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Yani ukiwa upo mgahawani/hotelini afu ukawa unakata matonge ya haja ukidhani hakuna anayekuona Utashangaa ile unamaliza tonge la mwisho muhudumu wa kufuta meza huyu hapa kashakufikia kaja...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Naukana Utanzania rasmi kuanzia leo. Siutaki hata kidogo najionea nuksi tu. Nitakuwa mtanzania mpaka kiumbe fulani kitoke madarakani.
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Mi kila nikiingia humu naanzaga na jukwaa la nafasi za kazi ili nione kama nitabahatika kupata kazi Halafu naenda jukwaa la matangazo madogo madogo ili nione vitu vinavyopigwa mnada ninunue kwa...
0 Reactions
5 Replies
815 Views
Nataka kuuza bhangi(kuwa pusha) Nipeni faida na changamoto zake
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Mbinu zangu mimi ni hizi 1)kupiga punyeto 2)Kunywa bia 3)Kunywa Valium
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…