JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kiukweli huwa mnatutia genye sana na hizi avatar. Yani unatamani kumfuata mtu PM kisa avatar yake. Afu mkija humu mnalalamika mnasumbuliwa. Si muweke avatar ya sura mbaya muone km kuna mtu...
7 Reactions
284 Replies
37K Views
Habari za hivi punde. Rais Wa jamhuri ya Tanganyika amemteuwa Mh Julia's Mtatiro kuwa balozi wa Canada. Mh Balozi Mtatiro ataapishwa Jumatatu asubuhi
0 Reactions
17 Replies
3K Views
...tuwanange na kuwapuuza wote wale wanaodai eti timu yetu ya taifa (Taifa Stars) imefungwa huko Lesotho. Tuwe wazalendo na tuitetee nchi yetu. Magufuli oooyeee! Hapa kazi tu.
0 Reactions
6 Replies
790 Views
naomba mnifollow.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
nachukia sana kunya hasa ile harufu ya kinyesi hakuna namna nyingine yoyote ya kutoa hayo masalia ya chakula ambayo hayajasagwa vizuri au kifupi mavi.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Je aitwe.... 1. Amri moja tu 2. Ubabe Ubabe 3. Hela tunayo 4. Nimesema Kata 5. Natumbua maramoja 6. Hakuna Kubembelezana 7. Sisafiring'o Ulayanimekaa Nitawashukuruni. Nawasilisha.
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu nimekuwa na urafiki na smartphone yangu kupita kiasi.mimi muda wote na simu.kila muda Niko busy na simu mpaka chooni.kwenye daladala Niko na simu napitia nyuzi za JF
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakubwa poleni sana.sisi vijana wa nyakati hizi(kizazi za uzinzi) tuna injoyi Sana life.watoto wa siku hizi wadogo tu wanafunzi washaanza kufanya mambo makubwa hata hawaoni aibu.watoto wa...
0 Reactions
6 Replies
806 Views
Habarini za Muda huu Memberz woote wa JF. Nikiwa kama Mmoja wa waratibu wa Party yetu ukiachilia mbali Mtambuzi, gfsonwin na mratibu mpya Vin Diesel, napenda niseme...
10 Reactions
224 Replies
12K Views
Mchana mwema wakuu, Unapita sehemu unakuta kamba imejaa vyupi hatari vya rangi mbalimbali,wengine tukiziona zile tunaanza kujenga picha ya papuchi,baada picha ku-develop kichwani mshedede unapata...
20 Reactions
169 Replies
18K Views
...tuwanange na kuwapuuza wote wale wanaodai eti timu yetu ya taifa (Taifa Stars) imefungwa huko Lesotho. Tuwe wazalendo na tuitetee nchi yetu. Magufuli oooyeee! Hapa kazi tu.
0 Reactions
0 Replies
295 Views
Kila mtu ana makuzi yake aliyopitia utotoni kuna wale wa kishua,wa uswazi na wa kijijini, Na kila mtu ana mchezo wake aliokuwa anaupenda sana , Binafsi ilikuwa kwenye Chandimu,gorori pamoja na...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Nimekuwa nikisikia sikia Huku na huko kwamba kila mwanadamu ana madhaifu yake aidha ya kimwili,au kiakili au kitabia.kwangu Mimi Ni tofauti Sana kwani nimejichunguza kwa muda mrefu nimejijua Sina...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu Mimi mwanenu sijuagi mambo ya bank Wala mambo ya tigo pesa au m pesa.mimi nikipata kalaki kwenye mambo yangu nakatumia chote.kama Ni vyombo nitapiga mpaka iishe Kama Ni ishu ya muhimu...
1 Reactions
10 Replies
921 Views
WaKÜŪ APPA nilipo nakaba shingo za chupa ba fula ni.hio bar inaa limama fullan limevaa makuku mguuni.sorry nimkosea Ni vikuku sio makuku.nimelewa sielewi nasikia ngoma nyimbo nasikia hii ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari ndiyo hiyo. Baba ameomba msamaha kwa wakubwa wa serikali lakini mtoto amegoms kuuacha u monitor
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Tupia povu lolote kuhusu chochote
0 Reactions
3 Replies
821 Views
Dunia inaenda kasi, baada ya kugundua kuwa kuna njemba inammendea aliyekuwa mpenzi wangu naye akawa ana mu entertain tuligombana na kutengana kwa muda kila mtu na mambo yake. Jamaa akakaza na...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za mida hi wakuu Nipo apa posta nasubiria kilimanjaro expres tayar kwa kwenda nchi jiran zanzibar!!!!! Swali langu ni je hiv hua kuna kupita hotelin kula( ilivo kwenye kutoka mkoni labda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Miaka ya hivi karibuni kameibuka kamtindo kakilimbukeni ka kumwagiana maji siku ya kuzaliwa. Mtindo huu umeigwa toka ng'ambo na kuletwa kwetu. (Si vibaya kuiga, lakini ni vizuri...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom