Tafadhalini nisaidieni kunichagulia Jina zuri la Mwanangu kati ya haya yafuatayo ambaye namtegemea Kuzaliwa usiku huu huu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,551
108,888
Je aitwe....

1. Amri moja tu
2. Ubabe Ubabe
3. Hela tunayo
4. Nimesema Kata
5. Natumbua maramoja
6. Hakuna Kubembelezana
7. Sisafiring'o Ulayanimekaa


Nitawashukuruni.

Nawasilisha.
 
Natumbua mara moja Gentamycine

nipo mwalimu

naimagine jina hili litasound poa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom