Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,303
23,055
Kiukweli huwa mnatutia genye sana na hizi avatar.
Yani unatamani kumfuata mtu PM kisa avatar yake.

Afu mkija humu mnalalamika mnasumbuliwa. Si muweke avatar ya sura mbaya muone km kuna mtu atakusumbua?

wp_ss_20170501_0004.png
wp_ss_20170501_0005.png
wp_ss_20170501_0006.png
wp_ss_20170501_0010.png
 
View attachment 503504 View attachment 503505 View attachment 503506 View attachment 503507 Kiukweli huwa mnatutia genye sana na hizi avatar.
Yani unatamani kumfuata mtu PM kisa avatar yake.

Afu mkija humu mnalalamika mnasumbuliwa. Si muweke avatar ya sura mbaya muone km kuna mtu atakusumbua?
Ni kweli wanaboa sana..!
Kama yule niliyempendaga akanikataa eti kisa mimi najua kusoma na kuandika tu.
Yaani kumbe ile picha huwa siyo yake duh.!
Niligundua hilo baada ya kupata mpenzi mpya hapa Jf ambaye aliona ile posti yangu ya kwamba "nampenda sana (iiduR)"
Kumbe wanafahamiana na wako kwa group moja watsapp akanionyesha jina lake halisi na picha yake original nilichoka.!
Kumbe ndo mchezo wao.
Sa hivi nimefunga breki kwa huyu ambaye ananipenda na avatar yake ni original.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom