SITARAJII KUOA Mbunge Wala Waziri Wala Mkuu wa Wilaya au Mkoa Wala Katibu Tawala.Labda Kama kunizalia watoto au kunifariji kimahaba.
DON NALIMISON, nitaoa Msanii mwenzangu ama Mwanamziki au...
Kuwa introvert ni asili ya mtu.
Kama unataka ubadirishe mwenendo wako, Ni either upunguze mazoea na watu au kuji control kuongea sana ila kujifanya kuwa mkimya utandaa tatizo la afya ya akili...
Wakuu!
Hebu tupeane uzoefu kidogo
Hivi kwenye ajira, waajiri huwa wanaangalia nini zaidi? wakati wa interview ya Kazi?
✅ CV yako ilivyoandikwa?
✅ Uzoefu wako kazini?
✅ Ufaulu/GPA yako?
✅Kipaji...
Kwa kile kinachoelezwa kukwama tena kwenye mchujo wa kuwania ubunge Jimbo la Kongwa kupitia CCM ilivyozua gumzo, zikiwa zimepita siku chache tu baada ya kutoa kauli yake kuwa Yanga ilichangia...
Mm ni mtoto peke katika familia ya mama na mtoto mmoja ambae ni mimi
Mama yangu ananambia ni mda wa mimi kwenda kurithi mikoba yake huko uchawini kwao
Mm nimekataa ila amenitishia atanichukua...
CHAKUSHANGAZA
Tukio hili lilitokea Januari 25, 1995 nchini Uingereza. Ni miaka 30 na miezi kadhsa sasa..
Eric Cantona alimpiga teke la flying kick shabiki aliyekuwa akitolea maneno machafu kila...
People on social media won’t tell you their parents cover their rent. They won’t tell you an old man is funding their lifestyle in exchange for sex. They won’t tell you their “business success”...
Eti wakuu, mimi ni tandiboi wa Malori ya kwenda Congo na Malawi. Sasa baada ya kukaa nje ya Tanzania kwa miezi miwili, juzi nilirudi kusalimia mke wangu na mtoto mmoja.
Kuna jamaa mmoja akatuma...
Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo...
Chombo cha mkuu wa anga
Kamanda ni shabiki kindakindaki wa mashetani wekundu "Manchester United" toka mwaka 1940😅😅😅
Kwa ambao hamuujui "UNGO" hebu tazameni hapa
Hili dege wanaweza kupanda hadi...
Je Unaikumbuka Jamboforum?
Leo Kwenye Kufukunyua Makabuli kwenye Picha Zangu Nimekumbana na Picha Ya Mojawapo Ya Kurasa za JamboForum enzi Hizo Ambayo Kwa sasa ni Jamiiforum..
Ama Kweli Tumetoka...
Wakati TBC Iko live kuna MWANAMAMA ANAREKODI video Hana utulivu kabisa wenzake wote wametulia yeye anajiselfie hao ndio watu wa ccm wasioogopa hata itifaki ya Taifa.
Kwa jamii nyingi kijana akishapata umri basi anaonekana ameshakuwa mkubwa na hastahili tena kuwepo hapo kwako mzazi na mara ingine kama ataendelea kuwepo, basi atakereshwa almradi aondoke akaanze...
Kuna migahawa siku hizi wanauza chapati kubwa sana, zile chapati mbili au tatu za zamani au mtaani wameziunganisha wakafanya kama chapati moja, sasa usipojua mapema ukaagiza chapati mbili linakuja...