Kiukweli kwa tukio la leo la kumuuga mshikaji wetu wa soga za kitaa pale krmjee, ni wazi kuwa mwanaume wa dar ni aibu. Mimi nimezoea wanawake tu ndo wanalia kwenye misiba na kufika hatua ya...
Mnawaandama sana wanaume wa daresalama lakini wako fit kinyama tu. Tatizo ni wachoyo(selfish)
Njaa haina hodari lakini siyo sawa mtoto kumbembeleza mzazi hata kama wote hawajala.Mzazi atajikaza...
Wanajf hamjambo aisee
yaan siku ya leo asubuhi subuhi nkiwa njiani kuelekea mkutanoni kwenye kituo flani cha polisi nlipanda daladala wallah kuna kaka kadhalilishwa sijui kadhalilisha mara papu...
Waungana me naulizia ule mwezi wa. Kwaresma hivi umeshaanza..?
Na kama umeshaanza, sikukuu ya pasaka inatarajiwa kuwa tarehe na mwezi wangapi..
Nimemaliza..
Been in a place for couple of times, and i got to admit , its mesmerizing. Its exquisite designs are unmatched, top notch security and the toilets are unrealistically clean: It's just...
*NDANI YA BASI, LAGOS, NIGERIA*
*JOHN:* Hello mrembo, una mwonekano wa kuvutia sana , jina lako nani?
*JANE:* Lola.
*JOHN:* Ningelipenda kukufahamu vizuri zaidi. Je unatumia WhatsApp, Twitter...
Ni kuwa tumekatazwa kumtaja Tundu Lissu kwani kila linalosemwa juu yake hulijibu siku hiyo hiyo na majibu yake yanaichafua serikali.
Sasa hivi tuna Kiu sana ya kufahamu harakati za upinzani...
Kusema ukweli Jf tunachukuliana utani lkn naamini kuna watu humu tume specialized kwenye secta mbalimbali
list secta ambayo ume Specialized ili siku mtu akikwama sehemu kwenye secta yake aja...
JF raha bhana.Kuna kipindi unakutana na majibu ya kiduanzi,nyodo,makuzi,ucheshi n.k ambayo hutokutana nayo sehemu yeyote ile.Kama ulikua umenuna inabidi ufumue kicheko tuuu.Ukiyaona hebu...
Kama unafanya kazi sehemu na umekuwa ukilipwa ujira mdogo ambao unaona kabisa haukidhi mahitaji yako!na boss hana mpango wowote wa kukuongezea mshahara Fanya hivi!
Fungua kampuni yako ujilipe...
Ili utajirike lazima ufaham mambo makubwa mawili....
Mambo yenyewe hata siyafaham ndo maana sijatajirika......[emoji13] [emoji13] Tuendelee kuangaika tu ndugu zangu hakuna namna.....[emoji23]...
Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?!
Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo...
Kesho nina mgeni katoka town anakuja mkoani tumefahamiana humu humu jf ata wiki haijafika toka apost anataka mchumba duh kaniamini kiasi hiki ngoja nimpokee tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kajamaa flani kauza chips kanasifika sana humu kwa mada za mahusiano yasiyo rasmi na kamejiapiza kuzaa watoto wa3 kwa wanawake tofauti mwaka huu. na kanadai tayari mmoja ameshapata ujauzito...
Nakumbuka tuliwahi kuagiza beki 3 mkoani morogoro vijijini tukaambiwa huyo binti ana miaka 18 kamaliza form four binti kufika anaonekana ana miaka 13 na hata kukaa na watoto hawezi.
Kuna mmoja...
Habarii
Jana niliulizwa maswali kwenye uzi flani as HardTalk Bahati mbaya sikuweza kuyamaliza yote kutokana na simu kuisha chaji. Hivyo basi Ningependa kujibu maswali yote yaliyobaki na kama kuna...
Wanajamvi za usiku huu
yaani katika vitu huwa vinaniletea hasira huwa ni kitendo cha mtoa uzi kuleta uzi bila kuwa na viambatanishi vya kusaidia uzi wake ili wazeee wa kushadadia tushadadie kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.