JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo MSD wametangaza kuwa zimeingia condom za wanaume milioni 9 hapa nchini kwetu na zitaanza kusambazwa nchi nzima sasa mimi nataka kuongea nao wasisambaze nchi nzima bali wasambaze kwa member...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya wana jamii watu wa maana na mitakataka yote salam zangu za kwanza ziende kwa dada yangu Khantwe ujumbe hata kama hujanialika mimi nitakula tu ubwabwa kwa jirani salam zangu...
20 Reactions
420 Replies
19K Views
Nawajua sana jinsi Waha mlivyo Mambwigira / Washamba na sasa baada ya Kujengewa hilo Sanamu la Samaki hapo barabara ya Mwanga wengi wenu mtaanza kuwa mnapika tu Ugali huko Makwenu na Kubeba sahani...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
I recently found myself skipping pages - sometimes whole chapters - while I read. It doesn't matter if it's a good book or not. I feel like I am either speed reading because the book is boring but...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Msichana ni Naniii... Msichana ni mtu ambaye anaweza kutoroka kwaoo saa sita usiku akaenda kwa boyfriend wake ... Ila kwenda chooni saa mbili usiku anaogopa kisaa kuna gizaa
32 Reactions
61 Replies
5K Views
Sina uhakika Kama wapo ambao Ni standard seven naimani members wote angalau tumeionja sekondari japo wapo ambao walituacha wakaendelea na elimu ya juu pamoja na vyuo kuchukua mabachelor huko.so...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa mfano kitabu kina picha iliyokugusa au Picha iliyokukera kabisa na mengine mengi yanayofanana nayo. Ni kitu gani kilikufanya usome kitabu hiko? KARIBUNI
1 Reactions
1 Replies
958 Views
Greetings!!! I used to love the mentioned creature!! But unfortunately she is unreachable!!! Anyone with helping info please Sent from Huawei Mate X
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Tembea uone,ilikuwa maeneo ya Nangurukuru mwaka 2008 nilibanwa nikaomba msaada wa haja. Kipindi hiko hakukuwa na utaratibu mzuri wa sasa gari zote zinapaki hotelini. Jamani wadau haya mambo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Unajua bwana sisi tuliozaliwa vijijini tumeexperience maisha flani honest sana, yaani maisha yasiyo na unafiki wala makandokando, ila katika harakati za kusaka life huko Mijini, uki apply uhonest...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Habarini za uzima enyi raia za umu ndichi...Naam kumekua na wimbi la ma'manzi shazi kutu-cheat sisi machalii,Hakuna kitu kinauma kaa mamiloo wako kabisa kuku-cheat hadi unajiuliza kwangu anakosa...
3 Reactions
53 Replies
3K Views
Ukitaka kujua jinsi gani wanawake (ladies) huwa wanafikilia deep...cheki tuu siku ya maadhimisho yao tarehe 8,march kwanini tarehere 8,(iyo nane viiipi😂😂😂) HAPPY WOMEN DAY...WE LOVE YOU🏵🏵
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wasalaamu kwenu wazee wa vyomboz, Uzi huu ni maalumu kwetu tupeane ma experience ya utamu, kero za masanga aka vyombo. Beeers zimeshuka bei ila zina hangovers za hatarii ahsubuhi , kichwa...
4 Reactions
66 Replies
9K Views
Kuna watu bangi zimewapa maisha lakini kuna wengine zimewaharibia maisha yao yote! Bangi za zamani zilikuwa mbaya sana! pafu moja tu inamkaa mtu miaka saba! ni tofauti sana na hii...
4 Reactions
26 Replies
7K Views
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Oya niwaambieni kitu Kuna nyimbo za kibongo ambazo mkiwa mnafanya mapenzi usiku zinaamsha popo sana 1.iokote-mausa sama 2.ona Sasa ona,ona Sana ona-richard mavoco 3.ninogeshe-nandy 4.kassim...
1 Reactions
29 Replies
28K Views
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1 Reactions
1 Replies
858 Views
KAULI YA MADAKTARI KWA KIBONDE (imenyofolewa toka mtandao wa facebook) ephraimu kibonde hii ndiyo shukrani yako kwa madr Nakumbuka sana mwaka 2007 , ukiwa hoi bin taabani wewe na mkeo namna...
14 Reactions
216 Replies
46K Views
Habari za asubuhi, Niende moja kwa moja kwenye mada, dada yenu siku za karibuni nimehamia mtaa wa saba sasa hii nyumba ina pande mbili...upande wa mbele wanakaa wawili na upande wa nyuma tunakaa...
6 Reactions
119 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…