Ewe Mwanamke Unaye-cheat

princemikazo

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
2,197
2,051
Habarini za uzima enyi raia za umu ndichi...Naam kumekua na wimbi la ma'manzi shazi kutu-cheat sisi machalii,Hakuna kitu kinauma kaa mamiloo wako kabisa kuku-cheat hadi unajiuliza kwangu anakosa nini asee?.Hakyanani moyo wangu husinyaa na kunung'unika kwa manyanyaso na mateso,,Sasa mimi nasemajee.??..Sala ifuatayo inawahusu Shubaamiti zenu coz haiwezekani dem uwe una-cheat utafikiri huna nanii..nani hawa?!..Wazazi eeh wazazi..Aah no eti wazazi tena!!Utafikiri huna Mpenzi..!!.


Manzi yeyote anaem'cheat chaliake mwaka huu naomba aote ndevu tena sharubu kama za mtoto wa paka,pia avunjike miguu itapendeza zaidi,aungue na maji ya moto na ang'oke meno ya mbele.

Sisi wanaume tunao'cheat manzi zetu,Eeh Mungu Baba utusamehe hatujui tulitendalo utupunguzie adhabu,na Utufundishe kuwapenda wanawake zetu,,Aam3n.


@ChaliiYaKijengeJuu.
 
By nature wanaume wanacheat obvious na ni more biological than social! kwa asili wanawake waki cheat kuna reasons na hizo ndizo wanaume wanatakiwa wazijue ili waweze kuzi treat. wanawake kucheat is more social than biological!
Tukijikita katika imani cheating itapungua, imani, sio dini! maana hata makuhani wanacheat wakiweka imani pembeni, dini mkononi!
 
Back
Top Bottom