JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jana bwana wadau wa JF Dar Wing tulipata ugeni kutoka Arusha wing, sasa ikabidi ni coordinate na baadhi ya wadau wenzangu kina Madam B, amu, Kipaji Halisi, Kaizer Paloma, Bujibuji, Asprin, Vin...
8 Reactions
111 Replies
9K Views
Napenda ngoma sai naangalia lyrics but bdo sielewi, Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Wadau Wasalaam Nakumbuka kipindi nipo form two,nilikua napiga sana nyeto aka member wa chaputa Siku moja nimebaki pekee yangu dormitory,nikapiga zangu nyeto huku nikivuta hisia za mapenzi kwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wataalam wa nutrition wameshauri tuwe na mazoea ya kula chakula chenye virutubisho vyote vinavyohitajika ila kwa kiasi kidogo Spiritual nakazia Huo ushauri,HaKuna sababu ya kula chakula kingi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mtoto na babake walienda msibani,baada ya msiba kuisha viatu vya mtoto vikawa vimeibiwa.Baada ya kulia sana yule mtoto,baba akamtuliza mwanae kwa kumwambia,usilie we mwachie mungu.Mtoto...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chama cha vijana wasiooa Tanzania
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Mungu alimuumbia vitu vizuri mwanamke ila sasa wanachallenge Kucha bandia Nywele bandia Nyusi bandia Matako bandia Maziwa bandia List ni kubwa .... Je wewe mwanaume ninan hadi huweze...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
umewahi kujiuliza kwa nini ATM hutoa kwanza kadi kabla ya hela?? waliodesign ATM wanajua hulka ya binadamu kwamba akishapata anachotaka anasepaaa... yan ATM zingekua zinatoa kwanza mshiko kila...
8 Reactions
39 Replies
5K Views
huku mtaani imekua kama vijembe kina mama wana lalamika hakuna wanaume waoaji,nasi pia tuma lalamika hakuna wanawake wakuoa ivi hichi kizazi kitaishia wapi ,single parents ina chukua nafasi ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Aisee Kuna watu sijui niseme Ni elimu ndogo au Ni imani tu potofu kukithiri akilini eti mtu anakusimulia visa vya kichawi kwamba Kuna watu Wana uwezo wa kuzuia mvua kunyesha.jamani elimikeni nyie...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nisiwe mnafiki kabisa yani bado sijaipata hiyo furaha ya taifa star kushinda mechi dhidi ya Uganda jana! Wenzangu kipi kimekufurahisha sana juu ya wao kushinda kwao Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za mda huu wakuu? Ni jumamosi njema na takatifu kwangu kwakua tarehe Kama ya Leo miaka kadhaa iliyopita nilizaliwa mm hapa . Sina mengi zaidi napenda kuualika katika tafrija hii...
5 Reactions
13 Replies
982 Views
Ulale pema bk wa TMK mapanga ulale pema Steve 2 k, fadha nelly langa ulale pema Albert mangwair,John mjema mapacha, Ni njia Moja tunayoelekea nitafuata ulale pema remmy ongala kweli kifo hakina...
1 Reactions
5 Replies
921 Views
Tuwasaidie tu hawa wanachitchat na Wana MMU wenzetu kuwaonyesha wanaolandana nao. Ukiwa member wa MMU technically unaangukia kuwa member wa chitchat..la sivyo jitangaze leo tukuvue uanachama...
8 Reactions
105 Replies
5K Views
Kutokana na Ratiba yangu kubana so Ni lazima nifanye mazoezi hasa hasa ya viungo.. Nakoga vizuri if kuna ratiba ya Kula BUMUNDA basi nalitafuna vizur kabisa.. Kila nikichanganya hizi Ratiba...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari&burudani Mapato TzLike Page March 20 at 7:04 PM · Barua kutoka kwa marehemu mama kwa kijana wake siku ya 3 baada ya mazishi yake. Mwanangu Mpendwa. Napenda kujua kwa nini nimekufa kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za Masiku Wanazuoni wenzangu, Kutokana na Majukumu Mengi Nashindwa kuwa Active Kila Muda Humu. Kuna Pdf za Vitabu nimezipata ni Nzuri Mno hasa kwa wahandisi wa Ujenzi.. Kwa Mwenye Kufahamu...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimepita Bar kadhaa maeneo ya Tandika Mwembeyanga naona bei ya bia ni ile ile iliyozoeleka , sasa naomba mwenye kujua zinapouzwa nusu bei kama viongozi walivyotuaminisha anielekeze .
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa sababu leo, bei ya bia ni nusu bei kwa wakaazi wa jiji la Dar es salaam baada ya Taifa Stars kumfunga mwenye bomba la mafuta, basi tunaomba wale tutakaokunywa bia na kushindwa kufika kazini...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…