Jiulize lini ilikuwa mara yako ya mwisho kuokota hela? Wakati tukiwa wadogo kukutana na noti ya 20 au 10 ilikuwa kawaida ukitumwa dukani.
Sikuhizi tuna bahati ya kukutana na used condoms tu...
Kama heading inavosema hapo juu huu ni uzi wa Hip Hop comment mstari wowote wa ngoma yeyote kutoka kundi lolote iwe ya Hip Hop
Naanza mimi
Tunachukiana kwa sababu tunaogopana/
Tunaogopana kwa...
Habari wadau poleni kwa shughuli ya kujenga viwonder.....
Ivi ni kipigo gan ulichowahi kupigwa heavy na ukaona kabisa hiki kipigo siku stahili nimeonewa
............ ..... . ...
Kampani yako ni watu wa aina gani?
Kwangu kwanza kabisa kuna mshikaji wangu mmoja hivi napiga nae dili za kiepe yeye ndio huwa tunakaa kubadilishana mawazo juu ya biashara changamoto na jinsi ya...
TOFAUTI YA UCHANGIAJI WA MADA KTK SOCIAL NETWK KATI YA MAREKANI NA BONGO:
Hello, Naitwa Sandra, Nipo New York, nampenda mume wangu Sana, naweza kufanya chochote ili nimridhishe na kumfurahisha...
TOFAUTI YA UCHANGIAJI WA MADA KTK FACEBOOK, KATI YA MAREKANI NA BONGO:
Hello, Naitwa Sandra, Nipo New York, nampenda mume wangu Sana, naweza kufanya chochote ili nimridhishe na kumfurahisha...
Aman iwe juu yenu wakuu
Kuna hawa kaka zangu wawili Wa humu jukwaan ambao ni wapinga mungu wakubwa dunian
Je wako wapi kaka zangu hawa
Je huyu kiranga yuko wapi
Bhebhe shilanga ulehale nkoy...
Wanazengo mpo?
Ase hivi kuna umri ukifika unakuwa hauna yule close friend hasa kwa sisi wanaume au ni Mimi binafsi??? Kuna umri ule ambao ukiwa bado bachela hauna familia unakuwa na wana mda wote...
Habari za wakati huu wana Jf, niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa asilimia kubwa watoto hufuata/huiga mienendo na tabia za wazazi/walezi wao, mtoto anapokua katika kipind cha ukuaji anafata na...
Tutajeni sehemu wanapopika chips vizuri kwa hapa dar .
Maana kuna sehemu zingine unakula chips lakini hata usikii raha yake
Sehemu ninazo zijua mimi baadhi ni hizi
1)Njia panda ya majumba SITA...
Wamemaliza chuo siku moja na kuhitimu lakini mmoja kati yao ataanza kupata kazi na wengine kubaki wakisubiri unajua kwa nini,
Tazama picha[emoji116][emoji116]
Cc Zero IQ
Uliwahi kujiuliza siku ukiamka ukakuta internet haipo,hakuna instagram,whatapp,facebook emails,google etc.
Nihatua gani utachukua kumaliza hili je utaishi vipi!Fikiria kwa mapana.
Aman iwe juu yenu
Iv kati ya hao wapi wanakula totoz kwa wingi wazee
Nishawah kukaa kwenye gol la mshikaji wangu la kuuza skin aisee nilikula totoz sana na zinatoa namba kilain kinoma.
VP...
Tuseme tu ukweli hawa jamaa wa Vunja bei nguo zao mbaya na kwa mtu ambaye anajua kupigilia pamba hawezi kununua nguo pale maana kumejaa midosho tu hakuna pamba za maana.
Vunja bei ni kwa wale...
Hii wanajanvi ni miaka 6 sasa toka nifike songea ningependa tujuane na wana jamii forum walioko songea hasa wale wa sukuma land hasa simiyu ama mwanza jioni njema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kwa nini ung'ang'anie kutwita sisi "wanyonge" tena kwa kujigamba, eti; mimi ni rais wa wanyonge"
Nani kakwambia sisi ni wanyonge? Una ajenda gani ya siri kutung'ang'aniza tuwe wanyonge...
Umeshawahi kujiuliza kitatokea nini ikiwa hawa viumbe wa humu JF wakawa kwenye Thread moja yaani @Gentamycine,GuDume na Zero IQ alafu thread yenyewe iwe inahusu mambo ya mgegedo,
Unafikiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.