UKWELI KUHUSU WATOTO

Half american

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
28,459
73,987
Habari za wakati huu wana Jf, niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa asilimia kubwa watoto hufuata/huiga mienendo na tabia za wazazi/walezi wao, mtoto anapokua katika kipind cha ukuaji anafata na kutenda anayoyaona kwa wazazi/walezi na kwa asilimia kubwa huchangia kumjenga au kum-bomoa kimaadili. Tuwe makini bila kusahau kuwaelekeza mazuri ya kuiga na mabaya ya kuacha ni yapi ili kuwa na maadili kwenye jamii.

NAWASILISHA.
GBWA-20190323100614.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1051869

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi juu ya hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu siyo ukweli ila siwezi jua koz nimemrudisha kwa mama yake.

Siku hiyo niligundua kua Chapati anaita Chapati na Mayai ya kukaanga anaita Chapati pia. Nikamfukuza nyumbani.

Ana miaka 2
 
Adi nliisahau ila wameona na kusoma
Naunga mkono hoja japo imekosa wachangiaji kabisa sijui kwanini na ni maada nzuri sana
Ndio sababu tunashauriwa tusiwapeleke watoto bording schools ktk umri mdogo.Huko wanaenda kujifunza tabia za ajabu.
Miaka hii sio ajabu kuona mtoto wa miaka 3 yuko bording school
Wazazi wa karne hii mambo mengi hawana mda wa malezi alaf baadae mtoto akishaharibikiwa wanalaumu tu
Huu siyo ukweli ila siwezi jua koz nimemrudisha kwa mama yake.

Siku hiyo niligundua kua Chapati anaita Chapati na Mayai ya kukaanga anaita Chapati pia. Nikamfukuza nyumbani.

Ana miaka 2
Ungemuelewesha ipi ni chapati na ipi siyo, hapo ujamsaidia mkuu
Picha imenifurahisha hako katoto kalivyoiga iyo style ya kurudisha mikono nyuma.Teh teh.!!Yaani kama ka'mtu kazima!!
Ndio watoto walivyo ni wepes sana kuona na kuiga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom