Daladala Ni Usafiri Nnao Tumia Kila Siku Kwenda Kwenye Mihangaiko Yangu. Basi Huwa Nakumbana Na Matusi, Dharau Na Kejeri Toka Kwa Baadhi Ya Makonda Wa Daladala. Hasa Pale Mkipishana Kauli Iwe...
Habari Wana JF
Nimeona leo nitoe katika kile nilicho kitafiti kuhusu makabila yetu hapa nchini,Tanzania.
IFUATAYO NI TATU (3) BORA YA MAKABILA YANAYO ONGOZA KUWA KATIKA TASNIA YA UALIMU WA...
Ile Kauli yako kuwa ambaye anajua hajaoga au huwa haogi asithubutu kabisa Kuingia Mkoani Kwako Dar es Salaam imewaumiza mno Timu ya Yanga na Msafara wao kutoka Mkoani Morogoro kwani muda huu...
mimi
Mara ya Kwanza , Kutafuta kazi.
Mara ya Pili Kujua mambo ya kitaifa na baada ya kugundua siri ya dogo mmoja anayejua kila kitu anatolea madini yake jf.
Mara ya Tatu kutafuta biashara
Sasa...
Ukimsikia Mpenzi Wako Anasema "HIVI UMEKOSA NINI WEWE KWANGU" Ujue Mchepuko Uliochepuka Nao Ni Mbovu. Sasa Chepuka Na Kimchepuko Kizuri Na Kina Shape Kuliko Yeye Utasikia "SAWA NAJUA UMESHANICHOKA...
Marafiki wawili*(Elias na Ben)* walikuwa wanatembea mtaani akatokea mwanamke akarusha busu kwa mmojawapo kupitia dirishani katika jengo la ghorofa tatu.
Wakaanza kujadiliana kama ifuatavyo...
Samahani Kwa usumbufu,
Naitwa ABDALAH HAMISI, Nimemaliza kidato cha nne mwaka 2014 nikapata "C" mbili, "D" moja, "E" tatu na "F" moja.... Kwamaana nina GPA ya 0.7
Swali langu: Naweza kujiunga na...
1=wadada weng siku hz kustisha yale majibu ya hapana
2=vijana weng wa mjini kupenda majimama na mashangingi ya mjini
3=wanawake weng kugundua njia mbadara yakupata pesa wakiachiwa pesa kidogo...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Naanza kwa kucheka Mana...
“I am Henry Ford, whatever I don’t wear”
Once, when he was already a billionaire, Henry Ford came to England on business. At the airport information desk, he asked about the cheapest hotel in...
thread hii inakuja kwako Kwa udhamini mkubwa kabisa wa samsung s8+!
Comrade, mtaani wanapenda kuniita mzee wa black and white!
eebanaeE! sijisifii, lakini kwa upande wa kutundika mavazi mwilini...
Utafiti nilioufanya kuhusu kuongea lugha ya kingereza kwa ufasaha nikagundua wanaongea vizuri ni:
Walevi tuu na wanawake tuu ule mda wanasex..
Huu utafiti unaendelea...
Tuache utani yule askar magereza no1 asingekua na walinzi wa kutosha angempga kwa maoni yang anafaa kua mkuu wa majeshi CDF maana nidhamu ya uoga kwake mwiko AMENIINUA.
Mambo ni moto, MAPENZI ni kitu hatari sana, penda akupendae, usiombe kuachwa/kusalitiwa na mpenzi umpendae utajuta,
Naomba majibu toka kwenu wanaJF ni njia zipi wawezazitumia ukikutwa na hali...
Habari za asubuhi Wadau?
Leo Nimeona Tujadili Kuhusu Avatar,Ukiacha Avatar Yako mwenyewe uliyoiweka ni Avatar ipi nyingine unaipenda,Na sababu gani Kama kuna sababu,manake Avatar nyingine unaweza...