"Ukubwa wa maumivu katika MAPENZI huonekana baada ya kusalitiwa na mpenzi " [emoji22][emoji22]

Sep 30, 2018
28
20
Mambo ni moto, MAPENZI ni kitu hatari sana, penda akupendae, usiombe kuachwa/kusalitiwa na mpenzi umpendae utajuta,
Naomba majibu toka kwenu wanaJF ni njia zipi wawezazitumia ukikutwa na hali hiyo ya kusalitiwa na mpenzi wako ili ku'reduce/ku'avoid maumivu hayo ya kusalitiwa na mpenzi wako.
 
Wajuzi wanawafananisha wanawake wa leo kama bajaji...Inashusha na Kupandisha popote ili mradi nauli yako tu...
 
Mapenzi ni hatari sana kuna watu wameumizwa sana kuna waliokufa,firisika kwa ajiri ya mapenzi kitu nilicho kuja kujifunza ktk mapenzi usipende kumfanyia mtu kitu amabacho hata ww hupendi ufanyiwe ....mfano kuchepuka .jaribu kua mwaminifu na muwazi unapoona jambo lolote haliko sawa.Na kuachwa na yule umpendae lazima kuna sababu jivhunguze ni wapi ulipo kosea na uanze upya japo ni vigumu kumtoa moyoni .Pia ji keep busy sana hata tafuta kampani yaan usipate mda mwingi wa kua pekeako unaweza kuwaza mambo mabaya hata ukachukua maamuzi km ya jamaa wa kigamboni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom