JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Binafsi napendezwa na kuvutiwa na hii Couple ya THE BOLD na NIFAH hapa jamii forum mpaka nashawishika kuwajibu na kisha kuwaenzi hawa maicon wetu kwa mapenzi motomoto na mubashara wanayotuonesha...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Hivi wale mliokuwa mnakaa chooni shuleni muda wa vipindi mnafanya kazi sasa hivi? Hivi Vipi wale chairperson wa debates mashuleni sasa hivi hapo Shirika la utangazaji la BBC na CNN midahalo...
18 Reactions
202 Replies
31K Views
Kwa uchunguzi wangu wa haraka haraka, nimegundua kuwa avatar nyingi za wana JF na mawazo yao zinaendana kabisa, na inavyoonekana kuanzia mtu anachagua avatar yake anakuwa anacommunicate na inner...
2 Reactions
161 Replies
10K Views
Nilipokua na miaka 6 Dada yangu alikua na nusu ya miaka yangu, sasa Nina miaka 70 Dada angu atakua na umri gani???
3 Reactions
29 Replies
11K Views
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Si watoto tu hata watu wazima huulizana maswali ya kijinga. Hebu tuulizane. juzi kati nimepita sehemu nikakuta madingi wanaulizana. "Eti Malaika ni ndege?". wakuu hivi Malaika ni ndege?
3 Reactions
182 Replies
14K Views
Salamaaaaaaa
0 Reactions
6 Replies
2K Views
HII NDIO TASWIRA YA SIASA ZA TANZANIA, UNAAMBIWA KATIBA INAFUATWA, MARA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI UPO, MARA UHURU WA FARAGHA UPO, MARA OOH UHURU WA MAONI NA KUSIKILIZWA UPO. ILA JARIBU UONE...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Mimi ni kijana na nimepitia mengi katika maisha yangu ya kimahusiano. Nimekua na kila aina ya wanawake tangu nilipokua kapuku mpaka leo naweza kwenda 4ways na kulipia bill...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Daytime natimba kuibuka huku jamii nakutana vitu vya ukweng,e kuchimba indeep mavitu ya fyade mazee full happy Respect kwa masela zanguni wotee nawakubali kinyamaa
1 Reactions
57 Replies
4K Views
Aisee katika pita pita zangu naona watu wanajaribu kumfananisha Scofield na Professor sasa Najiuliza hawa wamevuta bhangi ya wapi??? Maana scofield kile kichwa Kingine yani series ya Prison break...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
[emoji121] AJE AJE WAZZEIYAH? HAPA KITAA F'LANI CHA MIGO_PIPA KUNA MANZI 1 NI DENTI YA MAKOLEJI HUKO MOSHI, KAJA KUMDEKU SIS YAKE AMBAYE TUNACHILL APATIMENTO 1 MOKO ILA ROOM ZINADIFA. KUMCHABO...
6 Reactions
78 Replies
7K Views
Baada ya mihangaiko ya week Leo naamini umepata wasaha wa kupumzika ,wapo ambao wapo nyumbani,wengine bar, wengine kanisani wengine wamelala toka asubuhi wengine vijiweni Mwenzenu toka asubuhi...
7 Reactions
184 Replies
12K Views
Yes....zamani ilikua dar sikuhizi chipsi ni chakula cha taifa nendeni arusha,moshi,mwanza,mbeya,dodoma,tanga,zanzibar, singida bukoba (hiyo mikoa nimeitaja maana nimeshafika) muone watu...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Daladala Ni Usafiri Nnao Tumia Kila Siku Kwenda Kwenye Mihangaiko Yangu. Basi Huwa Nakumbana Na Matusi, Dharau Na Kejeri Toka Kwa Baadhi Ya Makonda Wa Daladala. Hasa Pale Mkipishana Kauli Iwe...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…