Sema kuna Watu wana roho mbaya sana duniani!!!! imagine walikaa kikao wakaamua ikifika SAA NNE kamili asubuhi tufukuzwe gesti!.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daahh!! Moderator wa Jf wapo makini sana wakati najiunga na Jf nilikuwa sijui sharia vizuri so kuna sheria nilikuwa nazivunja mwisho wa siku nakumbuka nilishawahi kupewa BAN kama Mara tatu hivi...
Hakika nimeimiss JF ya kuanzia mwaka 2012 kurudi nyuma...Ni mtizamo wangu(my opinion)JF now days kuna members wanazingua sana..mtu anaaanzisha hata uzi wa kipuuzi na unapata airtime ya maana...
Asee nisiwachose wala nini, now niko Bush flani hivi uku Iringa kwene harakati za kusaxa msosi wa kila siku
To be honesty mi napenda sana nyama asa leo katika mizunguko yangu kwene harakat zangu...
Wape hi wakuu wenzio wa JF popote pale ulipo. Fanya hivyo kila siku kila uki login JF wape gwara wakuu wenzio wa JF.
Then, endelea na harakati zako!
Ukiweza kusindikiza post na ka picha, inakuwa...
Ni mda sasa Bibie Evelyn Salt amekuwa banned kutotumia jamiiforum ni yapata miezi sasa. Kwani kafanya kosa gani mpaka apewe bann ya mda mrefu kiasi hiki?!
Tukumbuke Evelyn Salt ni moja kati ya...
Habari za Mihangaiko ya maisha, natumai tu wazima, kwa wanye matatizo poleni Mungu awajalie wepesi
Niende moja kwa mona kwenye mada, Kwa Mwanaume /Mwanamke, ulieoa/ulieolewa... Unavyumba viwili...
Nauza CHIA SEEDS
Kwa bei nafuu kilo moja (1) 15,000/=
Ni dawa inayopunguza mashambulizi ya magonjwa kama
1) pressure
2)Inapunguza mwili
3)kisukari(diabete)
4)mshtuko wa moyo( heart attack)
Call...
Kufuatia gharika iliyoikumba pwani ya maneromango na kusabisha upepo mkali na mawimbi makubwa, upepo huo ulisababisha baadhi ya wavuvi kwenda na maji na wengine vyombo vyao kuharibiwa. Mvuvi mmoja...
jamaa yangu fulani alisema sapati badala ya chapati mwingine alisema mti wa mbibo badala ya mkorosho mwingine alisema kila mbwa kona hawa badala ya kila kona mbwa hawa mwingine alichapia umbombo...
Bandugu niwatakie heri ya pasaka..kwa wale wa baa, lounge, club tutakutana usiku.
Tuanzisheni tuzo za jf mshindi atashinda kutokana na mchango wake kwenye jukwaa husika, na aina ya michango yake...
» Awe mrefu
» Anaishi Dar
» Mwenye kazi halali ya kumwingizia kipato
» Umri 24 kwenda juu
» Awe mgumba/asiyezaa/tasa
» Awe mkristo/mkristu
» Elimu kidato cha nne kwenda juu
» Mimi ni ME
Kwa ambae ana mtoto anasumbuliwa na homa mala kwa mala hasa wakati wa usiku,
Na mala nyingi akimpeleka mtoto hospital anashindwa kutambua hasa nn chanzo cha mtoto kuchemka na kua na joto jingi...
Uzi wa matajiri
Jaribu kufikiria unakutana kijana anaejiita sharobaro au masister duu amebeba kitecno chake mf kiCAMON X cha vilaki vinne huku amekishindilia makava na maprotecter hadi kisimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.