Hivi ulijisikiaje siku uliyoanzisha uzi kisha ukapuuzwa kama huu wangu

😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺
 
Mara nyingi tu nyuzi zinapuuzwa. Muda mwingine unaweza ukafikiri ni wewe peke yako. Muhimu jifunze kuwa kawaida kwa yanayotokea mbele yako,yawe negative au positive. Ukitaka nyuzi za kuchangamkiwa humu andika kinachohusu “kugegedana”
 
True
 
Sio kweli mkuu.

Similar Discussions

Back
Top Bottom