JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habarin ndugu, samahani kwa mwenye ufahamu kuhusu upatikanaji wa usafiri wa IT namomba tujulishane Hususani Dar-Mbeya asanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mara nyingi tunashindwa kutifautisha marafiki wa kweli na wasio wa kweli ndo mana MTU analalamika ametendwa na rafiki wa karibu. Ili umjue rafiki wa kweli unatakiwa uangalie vigezo vifuatavyo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Tarehe na mwezi Kama wa leo ndio siku uliyopata kibali Cha kuletwa duniani. Ifurahie siku yako Mungu azidi kukubariki na ukawe baraka kwa wengine. Heri ya siku ya kuzaliwa rafiki Mr.Marangu
11 Reactions
54 Replies
45K Views
Habarin ndugu, samahani kwa mwenye ufahamu kuhusu upatikanaji wa usafiri wa IT namomba tujulishane Hususani Dar-Mbeya asanteni
0 Reactions
0 Replies
428 Views
Me nashangaa kuona Marekani majamaa wanawamiminia Risasi watu wasio na hatia akati kuna Wasouth africa wanaua watu bila Hatia[emoji24][emoji24][emoji24] Alafu wanatamba tu mitaaani yani wale...
1 Reactions
0 Replies
433 Views
Awali ya yote uongozi wa chama kikongwe jukwaani CC kinatoa radhi kwa changamoto zinazojitongeza jukwaani. Uongozi wa chama umekuwa ukifuatilia kwa kina na kufanya tathmini za dhati kabisa na...
35 Reactions
431 Replies
20K Views
Coment Herufi Tatu(3) za mwisho za Jina la mpenzi wako, Alafu mwingine Aje kumalizia kuandika Jina kwa herufi zingine zilizobaki ili tuone kama atapatia. Mfano. Uma=Mwajuma. Cc Zero IQ
4 Reactions
244 Replies
19K Views
Mbona hainivutii? Mbona sihisi kufurahishwa na topics za jukwaa hili? Nilidhani pengine umri manake ni kama mawazo ya waleta mada hapa yamekaa kitoto toto sana!? Lakini,. mbona wapo members...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Natoa Shukrani kwa wote walionesha kujali nakutumia sekunde chache kuandika andiko juu ya kunitakia heri ya siku ya kuzaliwa, Mwenyezi Mungu awajalie kila la heri Shukrani za Pekee ziende kwa Yna2...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Mtoto mdogo alipewa maziwa ya Ng'ombe kwa muda wa week baada ya hapo Ngozi yake ilianza kubadilika ikawa na mabaka mabaka na kavuu sana na vipele.. Inaonekana ni Allergy ya maziwa sasa Hospital...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Anauza juice huyo mi nimemuungisha hapa kwakweli... Uzi tayari..
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Nadhani hamjambo ndio maana mpo jf sasa, mimi sijambo lakini kama afya yako haiko vizuri pole, Nimejikuta napenda kusoma comment tu wakati mwingine bila kuchangia chochote kwa sababu hiyo, ki...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
sijawahi mfahamu huyu baba jamani mara ya kwanza nilimuona youtube nadhani ni last week akihojiwa na dada wa global tv... ilikuwa kama bahati mbaya tu kufungua video yake sababu mi si mtu wa...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Kuna video zingine inabidi ucheke tu hata kama umenuna kwa kweli hebu tazama hii video.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
What if TCRA wakianzisha leseni ya umiliki wa simu Viambatanisho.- 1.Cheti cha daktari cha kuonyesha afya ya akili yako Na vinginevyo watakavyoona vinafaa then wanatoa Class za umiliki wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Me sipendi haya maswali *Unarudi saa ngapi *Utakula *Una miaka vingapi *Nikija kwani utataka *Uko wapi *Mama yako yupo *Ule mzigo nilio kuomba unanipa Sipendi sana
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kweli kabisa mi huwa nafua nguo Mara moja tu na kuzianika sababu zangu 1. Nilikuwa nafua maratatu ile Mara ya tatu nikaona tanatoka maji na povu jingi nikajua napoteza muda 2. Nguo zangu...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Taarifa ndio hiyo
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa wapenzi wa tik tok mtaandao onao post video za joking na action serious fun unaotumiwa hasa indian ,kenya na Tanzania kwa wachache wao Tatizo lake mmoja tu ukitaka kufaidi usiwe unaweka bando...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani majina ya kibantu ni hazina. Askofu Abednego KESHOMSHAHARA.
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom