KAMA MWANAUME
Adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO.
Mwanaume mwenye tamaa HII ya ngono
Ndani ya dk 5 anaweza poteza ndoto na malengo ya miaka 20 ijayo
Ndani ya ngono kuna
BARAKA...
Guys najaribu kupost uzi kwa mara ya kwanza kwenye JF mpya tena kwa VPN, yeey!
Okay nipo bored, njooni tupige story mbili tatu, nipo Unguja sijui kwanini nikiwa huku nakua bored kuliko nikiwa...
Tulipokuwa shule, darasani tulikuwa wanafunzi wa aina mbalimbali na makundi tofautitofauti kulingana na tabia au haiba ya mtu.
Darasa lililokamilika kwa hekaheka za hapa na pale ilikuwa lazima...
Wakuu, poleni na masuala ya hii nchi isiyokua na kiongozi.
Jana kwenye mishe zangu, nikaingia Baa flani nikapiga valuer zangu mbili then akapita muuza mayai ya kuchemsha nikanunua mawili nikala...
Hi
Wakazi wa dar ni changamoto
Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini
Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa...
Mimi kuna bar hapo Tabata wamenipa jina la king mswati.Hilo jina walinipa kwa sababu ya kila bar maid anaekuja lazima nipite naye, Wadau wakaamua kuniita king mswati.
Wewe je mdau, maeneo yako ya...
Leo jioni nikiwa natoka kwenye harakati za mtu mweusi njiani kuna mama alikua anauza maharage mabichi yaliyomenywa, nikasema ngoja nisapoti family business kwani mama yangu kule kijijini anafanya...
Habari wanajukwaa mnaendeleaje na kujenga taifa?
Kuna uzi mmoja nimesoma asubuhi hii nimecheka mno kuhusu search histories za watu kwenye simu zao. Kuna histories za mambo ya ajabu ambayo mtu...
Kwenye pita pita zako mtandaoni unakutana na hii picha, unapo-zoom na kutazama vizuri unamuona bi mkubwa naye yupo hapo chini.
Utafanya nini mkuu? π comment ziwe fupi fupi