JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwa upande wako skukuu yako unaenda wapi? Mimi nitakuepo home tu ila natamani niingie town nidake maini yenye utumbo msafi nikapige nayo bia mbili tatu! Kula bia bila maini ikiwa pembeni huo ni...
5 Reactions
14 Replies
217 Views
Leo jitahidi ucheze na watoto wa jirani usipocheza na watoto wa jirani mwaka utaisha bila kula pilau siwafundishi kila kitu.
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Huu ni uzi maalumu wa kutakiana; Kheri Fanaka Afya njema Mafanikio Upendo Amani Furaha n.k Na kwakuwa tuko katika msimu wa sikukuu basi si vibaya tukijuzana nyimbo tam tam za wakati huu..Mimi...
6 Reactions
28 Replies
7K Views
Footballer - 1 week = 200Million Teacher - 500 years = 200Million Doctor - 50 years = 200Million Politician - 15 Minutes = 200Million Drug dealer - 1 day = 200Million Thief - 20 Minutes =...
6 Reactions
40 Replies
574 Views
Yaani ni opportunity in disguise ,ile mamlaka tangu jana wawazuie washikaji wasipashane habari ,vidume kibaooo vimeyeyuka havionekani mjini ban limewakalia kooni,walioko ni vidume tu wa mbegu...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Huu uzi ukiingia kichwa kichwa utaishia kuwa na hasira halafu utatoka bila bila Ila ukiwa makini utatoka na kitu hapa Nimeweka huu uzi baada ya Juzi kuweka tangazo langu la kuuza ac na vitu...
29 Reactions
190 Replies
4K Views
Kula bia kula bia kula bia kula bia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป Kula bia kula bia kula bia kula bia...bia tamu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ we hapa lounge bar tunaondoka tarehe 2 mwakani ni kula bia...
0 Reactions
3 Replies
163 Views
Mimi nimefanana sana na mama, wengi wanaomjua mama wakiniona tu hata kama hawajajua wataniuliza , wewe ni mtoto wa fulani? Huwa wananiambia kua mimi ni mama mtupu. Cha ajabu dada angu yeye...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Usitamani kuwa bora kuliko wengine, Tamani kuwa bora kuliko ulivyokuwa kabla kwani akili huwa ndogo zinaposhughulika na wengine pia huwa kubwa zinaposhughulika na mambo yako.
3 Reactions
2 Replies
96 Views
This December simu za watu kukopa zimekuwa nyingi hadi mtu unaogopa kupokea simu za marafiki hii noma. Mtu unaweza ukawa na pesa kidogo ya kukutosheleza wewe mwenyewe ukianza kugawia kila mtu...
4 Reactions
13 Replies
277 Views
Wa kuitwa Tumia akili kapotelea wapi!? au alitandikwa ya kwenye masaburi wakati wa maandamano? Mbona utabiri wake umeenda alijojo? naambiwa jamaa uko alipo haamini kabisa kilichotokea, tofauti na...
3 Reactions
23 Replies
557 Views
Naamini hunijui. Na mimi nakiri kuwa sikujui. Hatujuani! Lakini zamani wakati sijajiunga JF ulikuwa unaandika sana hasa kuhusu ushauri wa kimahusiano, malezi ya watoto, familia, mambo ya kiroho...
32 Reactions
217 Replies
8K Views
Tunapoelekea ukingoni mwa mwaka 2025, kila mmoja wetu ana kumbukumbu inayomfanya acheke au kutikisa kichwa. Kwangu mimi, tukio lisilosahaulika ni safari ya miguu iliyoanza kwa mkasa na kuishia kwa...
1 Reactions
1 Replies
149 Views
"Ooh ilikuwa iwe hivi" "Ilipaswa ie hivi" "Ni mipango ya Mungu wafe kwenye ajali familia nzima" "sikuzaliwa na nyota kali ndio maana sifiki malengo" ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
2 Reactions
3 Replies
149 Views
Nachoka mimi
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Tusemezane Wanaume ni kipi kinafanya umepachukia nyumbani kwako?
3 Reactions
28 Replies
634 Views
Holiday ikiwadia, kila mtu anakuwa na mawazo ya kupumzika. Mitandao ya kijamii imejaa maudhui ya safari resort, fukwe, hoteli za kifahari na picha za vinywaji pembeni ya bwawa. Ndipo nikawaona...
3 Reactions
4 Replies
345 Views
Wakuu Humu kumekuwepo na dharau za hapa na pale humu jukwaani.unakuta mtu anakushambulia,anakutukana kwamba mnalingana umri, cheo, au mali. Unakuta mtu anadharaulika mtaani kwake lakini jukwaani...
22 Reactions
217 Replies
5K Views
Wakuu tupo Disemba, zikiwa zimebaki siku kadhaa kufunga mwaka 2025 na kuuanza mwaka mpya 2026. Ni mambo gani uliyoyashuhudia au umeyapitia na pengine mazuri au mabaya ambayo huwezi kuyasahau...
0 Reactions
15 Replies
486 Views
Nawasubiria wakuu๐Ÿ˜†
1 Reactions
19 Replies
291 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ