JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hii nimeikuta sehemu fulani huko, hivi Kama ni wewe unaweza kuacha kazi kwa sababu Kama hii. Kiukweli ningekuwa mimi hii kwangu ingekuwa ni fursa kazi na dawa. 🤣 🤣 !!
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi inakuaje mtu unakua na chuki kisa kingereza kinakupa shida, wengine wanataka mpaka kuomba uongozi wakati lugha ya Queen nichangamoto kwao.
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Kutokana na TAKUKURU kuonekana wamepewa meno kukamata wanaotaka rushwa na pia watoaji. Kuna hatari kubwa ya wanaume na wanawake wengi kukamatwa. Tunajua jinsia ambavyo wadada wengi wamekuwa...
0 Reactions
3 Replies
924 Views
Mtia nia mmoja baada ya kushindwa kupita kataika kura za maoni ya kugombea ubunge,alisikika akilalamika kwa kusema. ''Wale sio wajumbe wale ni WATANZA NIA.Yaani pamoja na kuniahidi kwamba...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Juzi kati nilikutana na bidada mmoja mwenye bonge la Choo (trakoo), Zero nikajitosa ili nijaribishe bahati yangu kama naweza toboa, Demu ni alikuwa anaringa kinoma, kwanza ile kukutana tu kumpa...
12 Reactions
35 Replies
4K Views
Natumai hamjambo wanajamvi. Wakuu kupitia uzi huu, kila mmoja wetu awatumie salam watu 5 awapendao hapa ndani, mi naanza kama ifuatavyo: Salam za kwanza nazipeleka kwa KATOTO KAZURI, ujumbe: "mi...
8 Reactions
314 Replies
14K Views
Hivi kwanini wasichana huwa wanapenda kuandika vimessage vifupi ilhali ni waongeaji wakubwa wanapokuwa na mashoga zao?
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Dah zamani nilikuwa siwezi hata kuongea na wanawake iwe laivu au kwa simu. Nikitaka kumpigia simu demu nafikiria vitu angalau maneno hata matatu ya kuongea naye dakika zisogee sogee. Kwa sasa...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Husband: (Returning late from work) “Good evening Dear, I’m now logged in” Wife: Have you brought the grocery? Husband: Bad command or filename? Wife: But I told you in the morning Husband...
7 Reactions
3 Replies
1K Views
Sipendi kusikia jina langu linatajwa. Hata mtu akiniuliza ninaitwa nani natamani nimdanganye. Maana sijisikii poa kulitamka jina langu. Bora kuliandika na sio kutamka. Nikilitamka najiona sijui...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Wapare wanaume: 1. wanapenda nguo za dukani 2. wanapenda kuulamba 3. wanapenda kajiheshima kwa watu 4. wanapenda sifa 5. wanapenda sana ngono na hasa kudanganya visichana 6. wanapenda kuongea...
0 Reactions
23 Replies
17K Views
Wajaluo Jamani. Ni Rest in Peace Madiba sio Rest in peace Madiaba.
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Hakuna demu wa kishua aliyekuwa mbaya, wote ni wakali.. Jana nilialikwa na mchizi wangu sana tuliesoma pamoja sekondari. Yeye anaishi maeneo ya Oesterbay na familia yake. Ukizingatia location...
14 Reactions
58 Replies
6K Views
Zero IQ Niko dodoma toka Jana nakula kuku tu uko wapi zero? Totoz wa Dom njoon basi Niko hapa Rainbow mle maisha Mimi nimjumbe njooni tule hela za watia nia
3 Reactions
3 Replies
764 Views
U wapi mama sabi, uloteka moyo wangu. Unifanye niwe Hubby, chema chako kiwe changu. Nikiiweka ahadi, zaidi ya yakizungu Mama sabri uko wapi, unitulize machungu. Nilipenda avatar, nikachanganywa...
7 Reactions
66 Replies
5K Views
Wapendwa hvivi inatokeaje mwanaume akipishana kidogo na mkewe anamuita wewe kama Mwanamke wa bar? Halafu kibaya zaidi Huyo mwanamke anatusiwa mbele ya mkwe wake, what kind of day man? na unambiwa...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Habari za masikuuuu. Kuna kisa kimoja hivi kilinitokea juzi nikikumbuka nacheka Sana, Kuna binti mmoja hivi anafanya kazi Pharmacy "Duka La Dawa", nimemfatilia tokea mwezi wa tatu hivi lakini...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Baada ya kukubaliana na mchuchu wangu kuhusu ile show ya wiki iliyopita kurudiwa tena kutokana na game ya kwanza kuisha kwa matokeo ya 2-0, mhuni nikiwa na aggregate ya goli mbili mkononi huku...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Taja kitu ambacho uliwahi kuona katika maisha yako na sichakawaida na inawezekana ujawahi kukuiona mahali popote!
0 Reactions
133 Replies
15K Views
Kwanini baada ya kumaliza chuo, wale wenye couple mapenzi yao huisha muda mfupi baada ya chuo kuhitimu chuo?
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Back
Top Bottom