JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jina gani la ukoo ni maarufu zaidi Tanzania?
2 Reactions
7 Replies
306 Views
Mimi sishabikii ukabila lakini hili la wagogo wa Dodoma limenishangaza. Eti Chatu ni nyoka wa mvua na haupaswi kumuua hata kukimkuta ndani mwako. Kenge, ni kiumbe wa mavuno na ukimuua basi...
7 Reactions
74 Replies
954 Views
Mshana Jr 46 cocastic 31 Binti wa zamani 40 Hannah 35 Kiranga 37 secretarybird 31 ELI COHEN 34 ERoni 36 hamis77 35 FaizaFoxy 48 ephen_ 36 dosho12 30 Vincenzo Jr 31 Maxence Melo 48...
21 Reactions
229 Replies
3K Views
Hello!, JamiiForums members. Nowdays, members wengi wa JamiiForums wamekuwa wakipost mambo ya siasa ambayo hayana mchango mkubwa katika maisha yetu so nilikuwa naomba tu-focus pia na majukwaa mengine.
6 Reactions
37 Replies
411 Views
1. Wewe mwanamke ambaye mpaka saa hizi ajatandika kitanda toka alipo amka. Eti yupo busy na kusaka noti. Hahahahaha wewe ni bachela sio wife material hata iweje. Ndio mnaotuchafulia cv wanawake...
4 Reactions
43 Replies
824 Views
Oyaa,Familia Nawakumbusha Mambo ya Kuzingatia Kwa wewe Kijana Mwenye Malengo. 1)Kutumia Condom kwa kila Tendo ili kulinda Afya yako. 2)Kwenda kwa waganga ili kulinda na kukuza Uchumi wako ,na...
9 Reactions
22 Replies
500 Views
Wakuu, punguza marafiki, na wateja wako ndio marafiki zako,utakuja unishukuru.
4 Reactions
6 Replies
223 Views
KUna ile statement ya "There is food at home" tukiwa tunatembea mjini nilikuwa naona mzazi ni mchoyo sana ila sasa hivi naelewa
8 Reactions
23 Replies
455 Views
1: punyeto 2: clubbing/pub 3: unywaji wa pombe/liqour/whiskey/wine/visungura/gongo 4: mihadarati (bangi, heroin, meth, cocaine) 5: utumiaji wa makahaba 6: kuwa na sponsor/mshangazi 7...
13 Reactions
95 Replies
1K Views
My Take Naona Gen.Muhoozi ni Mzee wa heavy duty trucks,amemaliza Kila kitu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡ https://www.instagram.com/reel/DTyEsXKjGcv/?igsh=MXR0d2FiZGIxZzlwMg==
3 Reactions
14 Replies
221 Views
Habar wana JF natumaini wote wazima poleni pia na majukumu yanayo wakeep busy . Nilisha wahi kupewa nisimamie mradi wa misitu ya serikali mwaka fulani, lakin kwa bahati mbaya zilidaka moto...
8 Reactions
41 Replies
837 Views
Majira ya saa 12 EAT Nimeagiza pizza πŸ• pande za tindani yakaja makande. Ama hakika Filter leo zimeniingiza kingi 🀣🀣🀣 Stress noma
6 Reactions
36 Replies
503 Views
Habari wakuu, Hivi kuna mtu mwenye Mod ya StarTimes Apk (cracked apk) na kama unayo au unajua site ambayo nitaweza kuidownload please naomba nijulishe hapa.
0 Reactions
2 Replies
477 Views
Google map location inaonesha ukanda wa Gaza wa Tanganyika (Tanganyika Gaza strip) Unaanzia Kimara Baruti mpakani ni Mbezi Kibanda cha mkaa Majimbo yake randomly Kimara Suka Bucha Temboni...
7 Reactions
31 Replies
574 Views
Wakuu Shikamooni, mara kadhaa nimekua nikiugua na kupata maoni mbalimbali kama "MEZA DAWA" , hivi kweli Meza ni Dawa? Au wanataka kuniponza??
4 Reactions
9 Replies
272 Views
Nimeweka kreti la safari lager chini ya ulinzi mkali πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯ Kingereza cha beer 🍺 🍻
8 Reactions
47 Replies
508 Views
Nasoma comment na kama ndio umejua leo basi comment ''JF shule''
3 Reactions
12 Replies
228 Views
Namsikia sana humu bt kumbe ni mtu mzima tu, sasahivi kabla sija comment chochote humu nitaanza na shkamooπŸ˜€, weeh wampe tu Teuzi anyways ilikuwa poa kumuona, japo nae hajanijua, cheers uncle
20 Reactions
63 Replies
2K Views
Mgeni kukaa kwako mwisho siku ngapi ?
5 Reactions
23 Replies
472 Views
Salaam wanajamvi, Naombeni ushauri wa kina, nataka kuhama jiji la Dsm je niende mkoa gani? Wenye maisha rahisi, vyakula vya kutosha, niweze kufanya biashara pia kwa maana ya mzunguko wa pesa...
7 Reactions
55 Replies
951 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…