JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wadada wa JF mpo? Kwa hiyo huyo mhalifu mwenzako ameshakunulia Pashmina au utasubiri tu mwakani? Wifi yenu ataendelea tu kuvaa madera na vijora Binafsi napata ukakasi kumnunulia hayo mashuka...
5 Reactions
18 Replies
310 Views
"Kwaraha zetu peke zetu, na maprimitivu na maparalize" "Nimeshaongea na Elon Musk amesema atatupatia Internet bure" "Nimeshaongea na mkuu wa Satellite akasema atatusogezea satellite siku hiyo"...
3 Reactions
10 Replies
175 Views
Nini kimeondoa utaratibu wa wageni kuja nyumbani ?
5 Reactions
8 Replies
232 Views
Tupime macho wakuu, unaona paka wangapi kwenye picha?
3 Reactions
18 Replies
213 Views
Mvuta bangi mwanaume alivuta bangi akajiona uchi akadhani amevaa suti. akaenda kwa wenzake akawauliza suti imemtoa aje .mmoja wao akamjibu Poa sana ila tu tai umefungia chini sana
1 Reactions
3 Replies
159 Views
Ni aibu sana kitu unafanya kwa siri ghafla kikajulikana hadharani🙌. Upande wangu kama ambavyo ilivyo kwa watoto wengi hasa wa kike nilikatazwa kutumia simu mpaka nifike kidato cha nne,jambo ambalo...
11 Reactions
44 Replies
706 Views
John Sanga alikuwa ni mwanafunzi Mchoraji, Siku mwoja alichora Noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu, Mwalimu alipo ingia Darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua.... Wakati alipo kuwa...
7 Reactions
4 Replies
247 Views
Mwamba hazeeki kabisa!
7 Reactions
29 Replies
494 Views
Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe "Nikiangalia kopo langu la mkono, lasema ni saa moja na dakika takribani kumi na kenda." Tafakari ya babu... "Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika...
3 Reactions
4 Replies
248 Views
Hivi n mchezo upi uliupenda kucheza ukiwa mtoto.
1 Reactions
6 Replies
111 Views
Jamaa mmoja alikuwa akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari, castle na kilimanjaro kisha anatafata meza yenye viti vitatu anakaa nakunywa zile bia moja bada ya nyingine zote tatu nakuondoka...
23 Reactions
30 Replies
843 Views
Wengi wanaamini ukiwa na akili nyingi ndio utafanikiwa katika maisha, kitu ambacho si kweli; bali wenye akili nyingi wanawasaidia wengine kufanikiwa huku wao wakiishi kwenye maisha ya kawaida...
6 Reactions
11 Replies
326 Views
Alhamudulilah😂
0 Reactions
0 Replies
87 Views
Hivi inakuaje hawa wachina wanakuja huku kwetu huku hawajui hata lugha ya kiingereza wala kiswahili ambazo zinakutanisha watu wengi?
0 Reactions
3 Replies
169 Views
  • Poll Poll
Mimi kama raisi wa ma jobless pro max, nime ona niitishe kikao hiki cha dharura. Lengo la kuitisha kikao hiki ni kujua idadi ya ma jobless tusio na nyumba , maana humu jf kila niki zunguka kila...
23 Reactions
220 Replies
5K Views
Tunahitaji funguo nyingine za maisha, elimu sio ufunguo wa maisha tena !!
2 Reactions
2 Replies
113 Views
Wanajukwaa, hivi kuna kampuni ya bima ambayo naweza kukatia bima kiungo changu kimoja tu kama mambele uko Ulaya? Maana toka nimefika DSM kuna kiungo changu nakitumia hadi nakihurumia!
2 Reactions
5 Replies
165 Views
Kumbe nateseka tu hapa kumbe Nina ndugu za kiarabu, embu niwajue wanipe hata bilioni 20 pesa za mafuta nifungue biashara.
7 Reactions
8 Replies
246 Views
Mwamba baada ya Nzega kumnyoosha ameanza kuiboresha CV Kusaka ajira mpya HALMASHAURI ili angalau asikose kitu kila mwezi. TEUZI ndo basi tena. Asanteni Nzega
9 Reactions
75 Replies
4K Views
Ni binti mwenye umbo la pekee na sura ya kuvutia. Mrembo na mzuri wa aina Yake. Kaumbika toka kwenye unyayo hadi utosini. Her eye catching undisputed beauty makes heads turn. Despite her good...
10 Reactions
111 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…