Wakubwa mnaonaje..
Tayari nimehamia nataka nifanye maamuzi ya msingi kipi bora usafiri au mwanamke wa umri wa makamo nimekutana nae namuhofia ingawa ananipenda sana. Namuhisi na magonjwa haya...
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Siipendi hii emoj kuitumia na inaniudhi sana mtu akiitumia kwangu.
Kwa anayejali hisia zangu please, asiweke hii emoj kwenye post yangu.
Mimi...
maisha Ya Ubachelor Unaweza Kujishaua Kufululiza Kupika Msosi Hata Mwezi Mzima Ila Vyombo Visafi Vikiisha Ndani Unarudi Kwenye Utaratibu Ule Ule Wa Kula Chipsi Na Paja La Bukujero.
Maisha Ya...
Bhana bhana leo nilikuwa na mishe flani hivi Sinza madukani...sasa baada ya kufika nika chill sehemu namsubiria mwenyeji wangu
Dakika si nyingi ikaja LAND ROVER ikapaki pembeni kisha ikashuka...
Maisha bora yanaanza na wewe, jipende, jilinde na jiheshimu.
Pambana kubadlisha maisha yako leo ili kesho yako ikawe nzuri na kuvutia.
Usiwaze kuhusu jana yako, mana umeshaizika na kamwe...
Na Josephat K. Nyambeya
B-2 bomber ndio ndege hatari zaidi ya kivita kuwahi kutengenezwa duniani, ndege hii hujulikana sana kwa jina la (Popo) kwa sababu inafanana na popo kiumbo. Ilianza...
Ni miaka 12 sasa, huyu mwali tulikutana kwenye usahili katika moja ya makampuni makubwa yaliyowekeza Tanzania.
Kwa bashasha tulitokea kuelewana na tukafahamiana ndani ya muda mfupi, na vijana...
marc anthony-everything you do ambao upo katika album ya MENDED ya mwaka 2002,wimbo wa 13.Ndio wimbo ambao kwangu mimi ndio mzuri kuliko zote duniani.Ukifuatiwa na next to you by chris brown..Kama...
1.Vile viti vilivovunjwa pale uwanja mpa vimetengenezwa?
2.Nimetoka moro kutoka jana
3.Anord swaniger
hahaha wewe umekutana na zipi zilisokufunja mbavu
Hebu tuambie basi jamani, uligegeda/gegedwa siku ya ngapi baada ya mtongozano mimi namaliza mwaka sasa kuna manzi alinikubalia mtongozo ila mambo ananipa kalenda
Imetokea tu..mmekutana baa
Wewe meza hii na yeye meza ya pembeni...dj akipiga wimbo gan utamshukuru sana..tena ikiwezekana utaimba kwa sauti/au kucheza kwa madoido
Naheshimu sana huu msemo"Kuna hela naisikilizia".Nashangaa watu wanaubeza na wanadharau pale wanapoambiwa.
Mtu anayesema hivi ina maana moyo unataka lakini pesa haipo kwa wakati huo kukamilisha...
Ni usiku!
Tunaongea wale tunaoliona jua usiku wa manane.
Baada ya chupa kadhaa za Whiskey + Beer! Nimejikuta natamani kuongea. Tunajua msemo kuwa 'wherever there is wine, there is truth. Basi...
Wezi wa Mifugo waliiba ng,ombe kwa Mmasai kisha wakamfunga Mmaasai Uchi kwenye Mti ucku kucha Asubuhi Majirani wakamuona na kumpa pole akasema sisikitikii Ng'ombe Wangu kuibiwa bali huyu Ndama...
Hello guys
Nawashukuru wanajf wote walio pamoja nami katika lolote liwe zuri liwe baya Mungu awabariki wapendwa. Pia, nawale wote walioikomaza akili yangu positively or negatively shukrani sana...
Jana baada ya Chelsea kuchukua ndoo nikaliunga libeneke hadi saa 10 alfajiri ndiyo natinga home...tilalilaa
Leo nimeamka saa nane mchana..nikatoka kula mbuzi choma maana kila kitu kilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.