Wanajukwaa, hivi kuna kampuni ya bima ambayo naweza kukatia bima kiungo changu kimoja tu kama mambele uko Ulaya?
Maana toka nimefika DSM kuna kiungo changu nakitumia hadi nakihurumia!
Mwamba baada ya Nzega kumnyoosha ameanza kuiboresha CV Kusaka ajira mpya HALMASHAURI ili angalau asikose kitu kila mwezi. TEUZI ndo basi tena. Asanteni Nzega
Ni binti mwenye umbo la pekee na sura ya kuvutia. Mrembo na mzuri wa aina Yake.
Kaumbika toka kwenye unyayo hadi utosini.
Her eye catching undisputed beauty makes heads turn.
Despite her good...
Asubuhi na mapema nakutana na huu ujumbe. Naomba kuuliza kama usingesoma na kupata kibarua ulichonacho sasahivi ungekuwa wapi na unafanya nini?
Au na wewe ungesema Bora ningesoma😌
Small pleasures - mambo gani yanatokea mara kwa mara na yanakufurahisha kwenye maisha ya kila siku?
Acha nianze :)
Kutoa bra na nguo za kubana bana baada ya kufika nyumbani .
Kuwa peke yangu...
Nipo hapa mjini nashangaa shangaa tu, sina uelekeo wowote ule, nahitaji kampani ya pisi inayojitambua yenye IQ kubwa. Awe ana uwezo wa kunywa na kumeza mapande ya nyama. Muhimu tu, tuweze kufurahi...
Huwa sina tabia ya kujipost status, Facebook, au Instagram lakini ikitokea nimebahatisha picha moja kali siwezi kutulia nayo kwenye simu.
Sasa wakuu naombeni caption kali ambayo ipo neutral na...
Mzee MWENYE gari aina ya land cruiser 70 hardtop lc78.
ALIKUWA mwanasheria nguli, alipiga hela sana MIAKA hiyo basi bhana ALIKUWA na tabia yake mbaya SIJUI nzuri.
Mzee ALIKUWA anang'oa viti...
Kuna namna wazazi wa kiswahili au uswahilini huwa na majibu yao ambaye mengine yanachekesha, kukera au walivurugwa zaidi hujibu bila kushirikisha ubongo yaani kutumia lugha nyeusi.
Mfano...
Akili nyingi ni kufanya kitu ambacho wengine wote wameshindwa kufanya, ila wewe ukaweza kufanya na kikaonekana. Iwe ni kwenye teknolojia, biashara, maamuzi magumu n.k...