JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Utoto Ni Raha Sana jamani. Nakumbuka kipindi Niko mtoto nilikuwa active Sana kwenye michezo mbali mbali ya utotoni. Ila kina michezo hatari Sana ambayo tulikuwa tunashiriki Kisha iikatusababishia...
6 Reactions
54 Replies
3K Views
Tukumbushane kwa maneno ya wazee wetu, Vitu brand vya busara nini Baba. Babu yako au mtu yeyote yule alikwambia neno ambalo hadi leo unalikumbuka na linakusaidia hadi kesho.
0 Reactions
52 Replies
3K Views
Kwako mdau ebu tuweke je umewahi kushuhudia au kutokewa na kisanga kipi kwa awa madereva wa pikipiki yaani bodaboda ambacho uwezi kukisahau maishani mwako
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wakuu Imepita takriba miaka kadhaaa toka niachane na JF kutokana na majukumu mbalimbali, Sasa leo nmelog in ila nimejikuta naona aibu mwenyewe kwa nyuzi nilizokuwa na post sijui utoto...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Sijaanza leo kujiuliza, hivi kwa mfano MTU akapotea ghafla katika utoaji thread,uchangiaji wa mada, tunawezaje kutambua taarifa zake. Maana sijawahi ona watu kushtuka humu ndani MTU anapopotea...
21 Reactions
162 Replies
11K Views
Nimekumbuka Mara yangu ya kwanza kulewa pombe niliona Cha Moto aisee! Kipindi kile nilikuwa ndo kwanza nimetimiza miaka 18 nikandaa bonge la party nikawaita marafiki zangu wake wanisaidie ku-...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habarini wadau...juzi kati nilipita chuoni tumaini university mwenge campus hapa dsm...aiseee nilikutana na mtoto mkali wa kinyarwanda ana weupe flanhv yupo diploma na nilipoulizia kwa wadau...
3 Reactions
115 Replies
14K Views
Huyu akidakwa itabidi ashikishwe mtutu apelekwe Ukrain[emoji848]
6 Reactions
10 Replies
3K Views
Hivi kuna siri gani katika ndoa, mara nyingi watu wakishaingia katika ndoa wanatoka vitambi vya ajabu ajabu? Sababu ni ipi labda? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Hivi Siku Hizi bado kuna Jinsia au Rika lina Hulka ya kuwa na Aibu kweli au Ndio Ule Mshipa ushakosa kazi,Siku Hizi Mi binafsi mpaka Naogopa navyokodolewa huko kitaa!!
0 Reactions
8 Replies
728 Views
Nimebahatika kuoa, ndoa ina miaka 8, anyway waweza waza ni hizi zenu za bongofleva, yangu ni classic. Huwa nafurahi mke wangu anavyomuandaa mwanangu kwenda shule, Iko hivi. Nikiwepo, ikifika saa...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Bad boys Dog Man X (DMX) Mr. Devil Young Killer Bad man Shetani Chizi maarifa Angalia ID za watu humu utashangaa why NEGATIVITY. NYUZI ZA HOVYO NDIO ZINACHANGAMKIWA [emoji34] [emoji35][emoji35]...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
BENSON AMEKUBALI YAISHE.. BENSON:-Hii Agnes [emoji173] naitwa Ben, mimi ndo Yule tulikutana Katika bus Jana Wakati tunatoka Moro kuja Dar, tulikaa Wote, nikakuomba namba yako ya Simu...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Uko katikati ya mawazo ya kulijenga na kulibomoa kasiri ambalo lipo tayari kwenye bajeti. Au pengine upo katikati ya lindi kubwa la mawazo juu ya lini utapata dili ili angalau uweze kulipia kodi...
1 Reactions
3 Replies
701 Views
Kama hauko bussy nitajie andiko la biblia unalolipenda Sana. Kuna kitu nitajifunza kwako
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Utakuta demu anajifanya anataka Serengeti lite au Heineken wakati kiuhalisia bia yake safari laga. Mi kuna siku demu kaniomba nimnunulie bia kulaleki anayaka Castle Lite wakati mi mwenyewe...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Hizi ni skills ambazo ni lazima mwanaume uwe nazo. 1. Mwanaume lazima ujue kupika. Kupika sio kazi ya wanawake wala sio gender role hii. Haya ni maarifa anayotakiwa kua nayo kila mtu. Kuna watu...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Unasikiliza ngoma ipi kwa Sasa Playlist yako Ina nyimbo gani.. Nasikiliza My playlist. 2pac-Life goes on Ghetto remix Akon.2pac..The notorious Big Eminem fall Eminem guts over fear Eminem-toy...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Mungu wa mbinguni awabariki sana katika Juma hili tunaloenda kuhitimisha mfungo wa Kwaresma na pia kuupokea Ufufuko wake Bwana wetu Yesu Kristo. Nawatakia Hitimisho la Kwaresma lenye kumpendeza...
1 Reactions
3 Replies
586 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…