Tukumbushane michezo hatari ya utotoni iliyotusababishia madhara tukaishia hospitalini

Raymanu KE

JF-Expert Member
Jan 20, 2022
6,804
12,555
Utoto Ni Raha Sana jamani. Nakumbuka kipindi Niko mtoto nilikuwa active Sana kwenye michezo mbali mbali ya utotoni. Ila kina michezo hatari Sana ambayo tulikuwa tunashiriki Kisha iikatusababishia madhara tukaishia hospitalini.

Nakumba nikiwa mtoto nilikuwa nikiwa na watoto wenzangu tulikuwa tunachezo huu mchezo hatarii wa kusukumiza punje za mahindi kwenye pia Kisha tunazitoa kwa zamu.Yaani mmoja wenu anachukua punje anaisukuma puani Kisha anabana tundu Moja la pua anasneeze afu punje inaruka kulee Kama risasi.

Ilifika zamu yangu na ununda wangu wote nikapitiliza punje puani ikatokomea. Aisew nilisneeze zaidi ya Mara 50 bt all was in vain punje haikutoka. Rafiki zangu walipoona kimeumana waliamua kunitoroka nikawa nimebaki chini nagaka gala na kulia kwa nguvu.
Nilipelekwa hospitalini nikapewa msaada nikaukoma huo mchezo hatari.

Kisha Cha pili Kuna siku nilienda kwa Bibi nikakuta ameponda pili pili ameianika nikaanza kucheza nayo.Kwa ujinga wangu uliotukuka nilishika usoni na mikoni yenye pili pili ikaniingia usoni. Uchungu wa pili pili mnaujua wakuu. Nililia sana Hadi macho yakavimba.Nilipelekwa hospitalini nikatiwa dawa macho yakawa sawa.
 
Nakumba nikiwa mtoto nilikuwa nikiwa na watoto wenzangu tulikuwa tunachezo huu mchezo hatarii wa kusukumiza punje za mahindi kwenye pia Kisha
Mimi nakumbuka mchezo wa kujaza gunia mchanga na kupiga mateke kama kina van damme(wapuuzi sana hawa jamaa, walituharibu kweli kweli!hahahaha)miaka ile ya 1994 hyoo!sasa kuna movie moja damme anapiga ngumi ktk ukuta, anapiga msamba nk!sasa nikajaribu kupiga msamba!aisee kilichonikuta sijasahau!!nikateguka nyonga na kukimbizwa hsptl huku nachechemea! Maninaaa zao kina damme, rambo etc!walituharibu sana hawa jamaaa.hahahaha
 
Utoto Ni Raha Sana jamani. Nakumbuka kipindi Niko mtoto nilikuwa active Sana kwenye michezo mbali mbali ya utotoni. Ila kina michezo hatari Sana ambayo tulikuwa tunashiriki Kisha iikatusababishia madhara tukaishia hospitalini.

Nakumba nikiwa mtoto nilikuwa nikiwa na watoto wenzangu tulikuwa tunachezo huu mchezo hatarii wa kusukumiza punje za mahindi kwenye pia Kisha tunazitoa kwa zamu.Yaani mmoja wenu anachukua punje anaisukuma puani Kisha anabana tundu Moja la pua anasneeze afu punje inaruka kulee Kama risasi.

Ilifika zamu yangu na ununda wangu wote nikapitiliza punje puani ikatokomea. Aisew nilisneeze zaidi ya Mara 50 bt all was in vain punje haikutoka. Rafiki zangu walipoona kimeumana waliamua kunitoroka nikawa nimebaki chini nagaka gala na kulia kwa nguvu.
Nilipelekwa hospitalini nikapewa msaada nikaukoma huo mchezo hatari.

Kisha Cha pili Kuna siku nilienda kwa Bibi nikakuta ameponda pili pili ameianika nikaanza kucheza nayo.Kwa ujinga wangu uliotukuka nilishika usoni na mikoni yenye pili pili ikaniingia usoni. Uchungu wa pili pili mnaujua wakuu. Nililia sana Hadi macho yakavimba.Nilipelekwa hospitalini nikatiwa dawa macho yakawa sawa.
Tulikuwa tunacheza kidali kwa kumbizana kwenye mkorosho ...kwahiyo tunarukia matawi ya mkorosho kama ngedere ili kukwepa kudalikwa

Siku moja nimerukia tawi likakatika nikadondoka toka umbali wa mita kama 10-20 hv na nikatulia mgongo nakumbuka sikuweza kutoa sauti wakati wa kulia wala kuongea kwa muda wa takribani nusu saa...nilibaki nimetoa macho huku machozi yakitoka tu

Baaada ya hapo sikurudia tena kudandia miti
 
mm nakumbuka mchezo wa kujaza gunia mchanga na kupiga mateke kama kina van damme(wapuuzi sana hawa jamaa, walituharibu kweli kweli!hahahaha)miaka ile ya 1994 hyoo!sasa kuna movie moja damme anapiga ngumi ktk ukuta, anapiga msamba nk!sasa nikajaribu kupiga msamba!aisee kilichonikuta sijasahau!!nikateguka nyonga na kukimbizwa hsptl huku nachechemea!
maninaaa zao kina damme, rambo etc!walituharibu sana hawa jamaaa.hahahaha
ulitisha Sana mkuu, hizo movies zilitupotosha Sana hasa michezo ya Wrestling
 
"Kifimbo cheza":
Nlichapa mtu stiki hadi mama ake akaja kushtaki home.

"Tayari, Bado":
Probably mwanzo wa game la kimasikhara Cc rikiboy hatari yake inakuja pale mnapokamatika sasa

Kwa walokulia geti kali hawawezi elewa hii mada yaan nmejikuta napata nostalgia ghafla.
Aisee! hatari Sana hiyo
 
Umasaini tukawa tunaenda msituni kweye mapango yaliyozungukwa na vichaka kutafuta watoto wadogo chui ili tukavichezee. Tulivipata Once mamayao alatokea. Rafiki yangu alipigwa ukucha wa shingo tukatawanyika kwa speed ya bodaboda, yaani kusingekuwa na morani karibu angeuwawa
Hatari sana hii
 
Kadome juu ya mti, nilianguka vibaya nkafanyiwa X-ray of skull kupata fahamu siku ya tatu nipo ICU
 
Mie utotoni ilikuwa ni mpira tu, ngumi kidoogo na kibaba baba(hapo mimi niwe baba, nikiwa mtoto sikubali na sichezi, nataka kuwa baba nimshone mtu)

Michezo ya hatari, kuruka sarakasi, kuparamia miti, nilikuwa naiogopa kama ukoma, ukijichanganya uumie utamkoma bimkubwa, hapo kwenye boli tu ukiumia, vile anakukanda maji ni kisensia kani , sasa ukiumia kwenye michezo ya hovyo ndio kabisa, unatibiwa na kipigo juu, kama kukandwa unakandwa maji fimbo pembeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom