JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Haya sasa itazame na unambie unaona nini?
0 Reactions
1 Replies
531 Views
Wakati fulani nikiangalia documentary ya bilionea Billget iliyoitwa "inside the Billget brain" aliulizwa swali moja muhimu sana kwenye documentary yake kuwa ni jambo gani bilionea huyu analiogopa...
0 Reactions
0 Replies
677 Views
[emoji112][emoji112] Maisha ni safari na hapa duniani katika hiyo safari huwa tunakutana na mengi sana ,tunakutana na vitu vya tofauti tofauti. Hapa duniani vitu vingi hutofautiana kitu X...
8 Reactions
57 Replies
5K Views
Jamaa mmoja alishinda bahati nasibu sh. milioni 20. Kwa sababu ya matatizo ya Blood pressure aliyokuwanayo,waendesha bahati nasibu wakaamua kumtafuta daktari ili ampe mshindi ushauri wa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Chorus, Could you be loved and be loved? Could you be loved and be loved? Verse 1, Don't let them fool ya, Or even try to school ya, Oh, no We've got a mind of our own, So go to hell if what...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Kuna majina ya pekee au ya ajabu kiaina humu jukwaani. naweka orodha hapa kisha mhusika akiona jina au ID yake aitike tujue yupo, unaweza kuongeza majina mengine ya ajabuajabu! 1. Uporo wa wali...
10 Reactions
139 Replies
13K Views
Wakuu ninaanzisha Uzi maalumu lengo lake Ni kupeana zawadi za vocha na muhusika atakayepewa vocha katika PM lazima aje atoe ushahidi hapa katika Uzi huu yaani unachofanya Ni Una mtag member...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wanaJf, Ni asubuhi tulivu watu mko katika majukum yenu ya kila siku. Eeeh bhana leo kwa mara ya kwanza nimeamua kunywa Bia nijue Inaleta feeling gani mpaka watu wanakesha...
12 Reactions
123 Replies
9K Views
- David Kinembe (Miundo mbinu, Tanzania ) - James Kakuma ( Trade , Zambia ) - Akaja Katomba ( Energy , Ghana ) - Nalia Namboo ( Sheria , Botswana ) - Antoine Chipumbu ( Finance ...
0 Reactions
20 Replies
33K Views
Jamani nipo hapa magomeni usalama kisuma bar nimekuja na Dada zangu wametoka mpwayungu dodoma nikawaambia waagize vinywaji mm naenda toilet. Sasa chakushangaza nimetoka maliwato Ile nafika wote...
17 Reactions
111 Replies
6K Views
Tuachane na kizungu maana wengi tutashindwa kujieleza..... JF watu tunafanganya saana....wengine huenda mbali na kuvaa uhusika usio wao hasa PM.... Utakuta mtu anamuimbisha mdada PM atamtajia...
15 Reactions
66 Replies
3K Views
Kuna huyu mdada wa kuitwa genecandy kwanza nahisi atakuwa ana rangi flani ya kisomali Kama chura wa kwetu kule singidani/kondoa au Kama masalia ya kiarabu ya lindi A.Nampenda Sana kilichovunitia...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naomba msaada jinsi ya kuirudisha Ac I'd ya Jf ya zamani Nilijiunga toka mwaka 2015 lakini nimesahau password na email.
0 Reactions
4 Replies
595 Views
Heshima kwenu wakuu, Mimi nashangaa, unakuta mdada anatoka Arusha anaenda Mwanza kukaa siku nne au wiki moja, lakini atabeba begi kubwa ukipishana naye utafikiri anaenda Mbinguni na Mizigo yake...
6 Reactions
45 Replies
12K Views
Kwanza kwa nini watu husema mwanamke hakopeshwi? Tuanzie hapo... Mimi binafsi nimenusurika kuuawa baada ya kuitiwa mwizi kisa tu kukumbusha deni langu. Aisee niliapa kutokopesha tena mwanamke...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Na funga ndoa na mwanajami forum miezi ya karibuni. Njoo mishuhudie hatimae kijana anafungwa mazima. Intake. Humu alitokea jamaa akasema ni PM . Kuongea mbili tatu akanipa ndugu yake. Kuyajenga...
5 Reactions
9 Replies
830 Views
Kuna uwezekano baada ya miaka mitano Tanzania itakuja kuwa super power sio Africa tu bali duniani kote. Nchi kama China, USA, Russia zimeanza kuiangalia Tanzania kwa jicho la tatu hii imekuja...
0 Reactions
2 Replies
441 Views
jamani mie leo nimekumbuka enzi za skauti na chipukizi (zamani kila mwanafunzi ilibidi apitie chipukizi) nimekumbuka zile nyimbo na mazoezi tuliyokuwa tukifanya nimezikumbuka pia hizi 1...
1 Reactions
36 Replies
9K Views
[emoji2][emoji2] Sent from my M2103K19G using JamiiForums mobile app
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Mayaya Jembeulaya – Harooo… hapo ni Ghasia? Inspekta Marwa – Ndiyo, Fidi Fosi mkoa wa Geita, mimi Inspekta Marwa, una shida gani? Mayaya Jembeulaya – Nimetoka Dsm nimekuta mtu anahujumu uchumi...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…