JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
umeshinda bonus ya billion 5 ,, siku unaenda ofisini kwa bosi wako kupeleka barua ya kuacha kazi utakaa mkao gani hapo? mimi namba 3 😂😂😂😂😂 karibuni wadau tuwaoneshe mabosi wetu ambavo...
10 Reactions
59 Replies
3K Views
Hongera le mutuz Kwa kutumiza miaka 55,leo jumamosi ya tarehe 25.06.2016
9 Reactions
93 Replies
22K Views
Dah ukiwa na natural common sense raha sana kwa wale walio kama mimi hongereni kama we ulielekezwa namba ya registration uko vizuri mwamba
1 Reactions
5 Replies
531 Views
Nipo hapa mitaa ya CBE nimesimama ninaona wasichana warembo wakipita na nina watamani sana, siwezi msimamisha mbele ya watu wengi ila kuongea naye naweza….Je, njia gani nzuri wakuu wa mambo bila...
5 Reactions
29 Replies
5K Views
Mwanajamii mwenzetu yupo korokoroni kwa kosa la fumanizi! Member mwenzetu huyo alikuwa akidate na mwanaume kumbe ni mume wamtu. Hivo jana wakiwa maeneo ya sinza walidakwa wakivunja amri ya sita...
10 Reactions
82 Replies
6K Views
1:Seche. Huyu alikuwa mtoto wa kigogo hapo dodoma, mtoto wa baba mchungaji, Huwezi amini kila siku yuko na biblia lakini mambo yake hatari kunako 6 kwa 6, Nilidate nae wakati ule yupo advance...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndugu majamaa leo siongei mengi Ila nilikua tu nataka kuwaambia ishini na wanawake vizuri utelezi upo Tena bila hata Mia. Mmesikia nyie mnao tafuta hela....? Ila msijisahau.
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Cheka kidogo Anakuja Mchina anasema anahitaji Paka[emoji250], ananunua mmoja kwa bei ya 20,000/=, basi wanakijiji wanahaha kusaka Paka[emoji250], wanawaleta mchina ananunua wote anasepa nao...
8 Reactions
6 Replies
2K Views
ORODHA YA SIMULIZI 1. Behind the curtain: September 11 2. Cosa nostra 3. Picha zinatisha: La Ultima Letra 4. Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi) 5. Top Secret: Nyaraka Namba 12333...
44 Reactions
466 Replies
85K Views
HIVI MUNGU AKIWACHUKUA WATU WOTE DUNIANI akakuacha wewe na mme au mke wako wa ndoto yako. Je, a.Utapenda mukaishi nchi gani? Kwanini? b. Mtajishughulisha na kazi gani? c. Utapenda mzae watoto wa...
0 Reactions
12 Replies
790 Views
Huu mtandao Nimeujua muda mrefu ila nilikuwa sijawahi kabisa kuingia kuna clip nyingi nilikuwa naona zinasambazwa kwenye mitandao mingine kiukweli kama mtu siku hiyo upo bored ukikutana na clip za...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Yap, niulize chochote kuhusu pombe. Nitajibu maswali yote, na ikitokea utahitaji kijitabu nicheki PM.
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Mwanaume unatakiwa umzidi mwanamke vitu vitatu. 1,👉Pesa 2,👉Akili 3,👉Umri Mwanamke unatakiwa kumzidi mwanaume vitu vitano. 1,👉Subira 2,👉Usafi 3,👉Mipango 4,👉Upendo 5,👉Nguvu ya maombi Ili...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Huu ni uhuni kama sio uhujumu uchumi anaotaka kunifanyia huyu mrembo wa CBE, Anatumia uzuri na kalio lake kama chambo cha kutaka kunifirisi, Siku ya tatu leo sijaenda ofisini kukagua mahesabu ya...
2 Reactions
5 Replies
581 Views
Nawasalimu kwa mvua. Nimeona jamaa angu kapost facebook na wengin wakaja na ushuhuda, mimi pia hii hali pia hunitokea. Hivi kwanini mara nyingi huwa naota niko form six na naogopa sitafaulu...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Leo tumekaa kikao wanaume wote tuliowa na wasio owa tumekubaliana wote kwa kauli moja, kumuhonga mwanamke mwisho sh. Elfu kumi hili halina mjadala. Wanawake jishughulisheni wanaume tumezinduka...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Ikitokea hii kwenye chumba cha mtihani Upo kwenye chumba cha mtihani, maswalii yamekupiga kinyama Unaamua kuchukua smartphone ugoogle kisha ucopy na kupaste kwenye booklet yako, Ghagfla lecturer...
0 Reactions
1 Replies
858 Views
Habali za usiku huu wakuu nimekuja na nyuzi hii tushikilishane kwa pamoja kwamba ni njia gani huwa tunazitumiaga kuondoa stress mfano; mtu kakukwaza, matatizo, kuumwa, nk. Mfano mimi huwa nikiwa...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Hey y'all... Inachukua muda gani mpaka mtu uanze kupostiwa thread za happy birthday humu au ku🙈🙈😅😅. Anyway Namshukuru Mungu kwa rehema zake leo nimtimiza miaka 30. It was a long journey Kwakweli.
14 Reactions
106 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…