Jamani nijuzeni mbinu ya kupata wachangiaji na likes nyingi jf endapo nitapost uzi wangu...tatamani kupata comment nyingi hata kumpita @rikboy kwenye ule uzi wake.
Nijuzeni jamani mimi ni mgeni...
Habari zenu my virtual family(JF)
Mara kadhaa huwa nikienda kununua vifaa vya electronics huwa nawakuta wauzaji wanawake...(probably nawafuataga sijui ila iko hivyo) ila sasa wana katabia ka...
Habari ndugu wanaJF,
Kwa Leo naomba nianze na Visa viwili,
Ingawa vipo vingi nilivyoshuhudia kuhusu watu kukosa uaminifu kutokana na mambo ya fedha,
1.mwaka 2004 nikiwa chuoni wilaya fulani...
Amani ya mola iwe juu yenu nyoote.
Ni jumapili tulivu kabisa yenye kila dalili ya kuwa siku njema na hali ya hewa ya kupendeza.
Nawakaribisha kwenye mchuano huu mkali wa hoja na kunadi Sera zao...
Hello wakuu,
Habari ya weekend, hivi ni taarifa gani nzuri ulishawahi kupata ukaishia kumshukuru Muumba, Mimi nakumbuka kwenye matokeo ya std 7 st Kayumba, nilichaguliwa kidato cha kwanza kwenda...
Amani ya bwana iwe nanyi nyote! [emoji137]
Guys, once upon a time milongo kadhaa ilopita alizaliwa mwanaume mmoja makini, mtanashati na matttatta sanaaaaaaa. Hendisamu boi huyo siku kama ya leo...
Sina mengi ila chukua coca moja na beer Guinness smooth mbili, hautajutia kamwe ni raha sana. Wachache watanielewa, sitaongeza nyama tujiongeza kula vizuri kunywa kiasi
Nina mda sasa natumia simu zangu bila kuweka kava yani inafika wakati naona kama kuweka kava ni ushamba flani.
Imagine watu wamekaa Apple huko wame design product yao wamekubaliana na muonekano...
Wakuu, kuna kademu kanapenda sana kuwasiliana na mimi japo kana mtu wake, ila kanapenda sana kunipigia pigia. Mara kanipige pige mabusu kwenye simu, sasa ni rafiki tu ananiambia yeye hawezi kuwa...
Leo nipo job hapa hamna kazi, mizigo imechelewa kutoka bandarini so leo kuchat tu..Sasa nikawa nawaza hivi binadamu tungekuwa tumegawanyika kama ilivyo weusi na weuspe katika muktadha wa kwenda...
Rafiki yangu nakupa ukweli japo ukitaka kuupinga Basi yes upinge kwa hapa town nimefanya tafiti wanywa bia wengi wa bar wanauza mwandu.
Labda ubahatike mke anayekunywea nyumbani ila akienda bar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.