Niende moja kwa moja.
Majina ya wadada au wanawake wanaotumia Jina hili wanatabia zipi. Wakuu hembu tuone maana Nina experience mbaya.
1. Aisha. Katika utukufunwake mtume S.A.W Jina Aisha Lina...
Jamani kulingana na msimu huu wa sikukuu naomba nitoe zawadi Kwa dada's Sasa Kwa heshima naomba aliyekaribu na bwana maulidi kitenge amwambie huyu Dada aliyenaye karibu naomba namna zake asanteni
Urevuka!
Yaani ni aibu sana unafanya matukio, unafanya ujinga mtaani na kwa jamii kisha kutoka nje unaona aibu. Ni upuuzi Sana.
Jamaniee wakati fulani unafanya upuuzi then unaogopa kutembea...
Kuelekea msimu wa christmas tayari wachaga wameshaingizana Maeneo ya kwao huko. Tujiandae na sikukuu ya mwaka huu itafana sana baada ya michongo yao kuachiwa free now.
Watu wako busy sana na kufuatilia maisha na taarifa za watu. Muda ni rasilimali adhimu tena adimu. Muda ukikuacha huwezi kuupata tena.
Kwanini unahangaika na maisha ya watu? Jali muda wako na...
Write off the back ma bwoy got dollars
So women come frequent like flight mile age,today aint no secret babe i might holla, but i aint gonna switch ya babe amma letcha catcha with ur game run...
Haika Ruwa,
Wachaga wote wa Rombo, Marangu, kirua vunjo, Wakibosho Wamachame, wa Huru wa Hai na pande zote, ikifika mwisho wa mwaka swali la kwanza ambalo tunajiuliza ni je, tumefikia malengo...
Salute comrades,
Nimefikiria kuanzisha hii chat kwa wale tunaolala saa nane usiku(2 am) au kuamka saa kumi na moja alfajiri (5 am) sababu ya majukumu mbalimbali ili tuweze kushare vitu mbalimbali...
Jf ni jukwaa lililojaa kina aina ya radha na burudani, sema kwa sasa kuna baadhi ya wajinga wachache ambao wana taka kuigeuza kuwa jukwaa la kutukanana na kukashifiana kwa misingi ya dini na...
Zaidi ya kusema niko Juu Ya mawe sijui msemo mwingine unaomaanisha nimeishiwa Hela.
Hebu nipeni msemo mkali zaidi ili nizidi kukwepa Vizinga wazee😅😅😂😂😂
Sikukuu ndio hizo zinakuja kwa kasi sana😎
Juzi kuna barua nilipeleka kwa kiongozi fulani ili atie sahihi yake;
kiukweli kila nikitizama mwandiko aliutumia hapa, naona ni kama amechafua barua yangu[emoji16]
yaani kaandika shagarabagala...
Haka kautafiti nimekafanya leo asubuhi hapa Kariakoo.
Both kwa ladies and gentlemen.
Ukitazama kiatu chake then umtazame sura yake unaona kabisa alistahili kuvaa kiatu hicho .
Hata kama kiatu...
Hamjambo,
Huwa nakereka sana pindi nimuonapo mwaume na Madevu yake amesiliba liTecno lake la vilaki vinne kwa makava na maprotekta.
Kama uko hapa na umesiliba liTecno lako hivyo nakutaka uondoe...
Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha basi wakafanya mazungumzo.
Mmoja aling'ang'ania kuzungumzia kero za familia yake hatimaye mwenzake akasema:- " Unadhani familia yako ina
matatizo?" Basi...
Mwaka wangu huu, nimepiga hat trick nipeni mpira wangu. Asante sana Monica, Alice na Somoe kwa kunizalia.
Sasa nimefikisha watoto 15, nashukuru kojo langu huwa halidanganyi, sura ngumu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.