JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ni kweli nachukia sana wanawake wapiga mizinga. Ila sometimes ukiamka vizuri unafanya kweli unayamwagilia maji haya maua ya dunia. Sio kwamba wana njaa au hawana hela ya bundle, NO ni kushea...
9 Reactions
32 Replies
1K Views
Leo nimempeleka dogo shule, ana miaka 7,nilipokuwa kuwa naye shule akanionyesha mwalimu mmoja, eti baba unamuona yule mwalimu pale, nikamwambia ndiyo akasema ni muongo balaa. Nikamuuliza kwanini...
3 Reactions
7 Replies
549 Views
Mtu akisema "bongo nyoso" inamaana bongo noma, au hatari, au ujanja ujanja mwingi. Mtu akisema umetoa boko ni kama umeharibu, hukufanya kama ilivyotarajiwa au ilivyozoeleka, sasa je? Kuna...
1 Reactions
1 Replies
931 Views
Watumishi wanarogwa na kusahau familia zao. Wanabaki kuwaza urabu na mbunye za mabaamedi. Wanashindwa kufanya maendeleo ya taifa lao. Wanapigwa vipapayu. Hapa bila serikali kuingilia kwa...
0 Reactions
15 Replies
796 Views
Emoji zilizotumika zaidi kwa mwaka 2022; Ya kwanza ni [emoji23] Ya pili ni [emoji24] Ya tatu ni [emoji1787] Ya nne ni [emoji3064] Yaa tano ni [emoji3590] Sent from my SM-J700H using...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Huku Mbezi ya Magufuli mvua inanyesha balaa vipi huko kwenu
4 Reactions
58 Replies
3K Views
Habari zenu wana JamiiForums, Mm ni kijana miaka 22 , kuna katabia ninacho nahisi kama ni tabia hasi hivi. Nikiona dumu la asali tu mate yananitoka, hadi inafika wakati nikiona asali home...
1 Reactions
10 Replies
777 Views
Kiukweli Tafadhali sheria naomba itungwe wale watu wote ambao wanatumia simu hizo hapo juu wawe wahujumu uchumi maana tumechoka sana kuziona hizo simu zikiua watu na kulipuka hovyo hovyo. Jana...
2 Reactions
10 Replies
698 Views
Binafsi nimeandaa sherehe isiyo na kifani nyumbani kwangu[emoji122] Kwenye kamati ya msosi na vinywaji... Tayari nimekwisha nunua mbuzi mzima, mchele Kg 40, maharage Kg 15, choroko Kg 7,nimeandaa...
3 Reactions
50 Replies
3K Views
MAISHA NA MAAJABU YAKE ✔Mmliki wa kampuni ya TECNO anatumia Iphone ✔Kiwanda cha kutengeneza mishumaa kinatumia umeme🙉🙉 ✔Meneja wa kiwanda cha bia anakunywa soda🤓🤓 ✔Aliyegundua pesa alikufa na...
10 Reactions
12 Replies
1K Views
Kutokana na mwaka mpya kuanza wewe kama kijana umejipangaje?
0 Reactions
5 Replies
363 Views
Kausingiz kamekata,wewe je?
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari za kushinda wakulungwa! Hii January ni kiboko. Au mnaionaje nyie wenzangu. Maana sasa hivi ukikatisha mitaani na unajulikana unaweza kuitwa chemba hata mara 5 ndani ya masaa 2 ili upigwe...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Yaani kuna watu wanakera sana yaani kuna watu maisha yao kutwa ni kukopa kopa ndiyo kukopa sikatai kuna vitu kukopa si ishu ila kuna kuna vitu vidogo vidogo navyo mnakopa? Eti pesa ya pombe...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Enyi watu badilikeni basi inakuaje mpaka leo kuna watu wanatumia tecno? Kuna jamaa mmoja nimepishana nae njiani eti linatumia tecno aisee nilishikwa na kichefuchefu nusura nitapike yaani jinsi...
12 Reactions
46 Replies
3K Views
Hiki chuo cha Methodist Kenya kimejiwekea utaratibu wa mavazi kama wa Taliban.
1 Reactions
16 Replies
654 Views
Majira ya jioni nimetulia kwenye liquor store ya mwanangu tunapata kinywaji mdogo mdogo. Katikati ya story za mtaa, ghafla akatokea binti mmoja mzuri sana mrefu, maji ya kunde na hapo nyuma...
18 Reactions
51 Replies
5K Views
Mtu anayekula Bata ni mtu anayeishi Maisha yake bila kelele, anakula vizuri, Analala pazuri Na kipato chake ni constistence. Lakini hizi wanazoziita Bata za vijana ni Anasa, haiwezekani ule Bata...
3 Reactions
8 Replies
602 Views
Mimi binafsi Sijawahi kuvutiwa na mtandao wa twitter,instagram japo nina akaunt lakini sijui nimetumia lini mara ya mwisho Sijawahi kuvutiwa na tattoo za aina yoyote Sijawahi kuipenda timu ya...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…