murthehelp
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 192
- 160
Kutokana na mwaka mpya kuanza wewe kama kijana umejipangaje?
Unajipigia chabo tu dada ako anavyohangaishwa na shemeji yako uckMh sielew mpka sasa bado naish kwa dada na sitaman kutoka [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajipigia chabo tu dada ako anavyohangaishwa na shemeji yako uck
nimejipangua mwaka huu ila mwaka jana nilijipangaKutokana na mwaka mpya kuanza wewe kama kijana umejipangaje?