JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimekuja bar hapa, kuna Barmaid kimechangamka, kiko Vizuri kwa macho. Sasa kuna jamaa amekanunulia bia, amekaa nako, mimi nimemuita huyo barmaid jamaa linageuka linaniangalia kwa Jicho baya...
6 Reactions
3 Replies
436 Views
Wandugu, Kati ya watu ninaowakubali JF, Mshana Jr ni namba moja. Si kawaida kukaa nusu saa bila kukuta walao comment yenye busara ya huyu member mwenzetu. Kwakuwa nimekosa vitu vyake adimu kule...
26 Reactions
229 Replies
20K Views
Ukiwa kwenye mahusiano yoyote lengo lako liwe ni kukua katika kila nyanja zaidi ya jana. Kukua kimwili (je uliyenaye anakusaidiaje kuwa na afya bora zaidi?), kiakili (je, uliyenaye anakupa...
2 Reactions
2 Replies
470 Views
VITU VYA KUZINGATIA KATIKA MAISHA MAISHA YANA VITU 7; 1:- Furaha. 2:- Karaha. 3:- Misukosuko. 4:- Majonzi. 5:- Migogoro. 6:- Mikasa. 7:- Chuki. Haya yote husababishwa na viumbe hai kama...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Vyombo vya usafiri 1. DCM (Japo siku hizi bado chache zipo) 2. Mabasi ya Leyland 3. Chai maharage hii mnakaa mnatazamana Kama mnacheza draft 4. Peugeot 5. Datsun N.k Nb: zilikua ndio luxury pindi...
14 Reactions
96 Replies
5K Views
Yule Jamaa Hua anaji feel sana[emoji23]
0 Reactions
8 Replies
545 Views
Humu hakuna makapuku wala-vumbi. Ni mtandao wa mataita wenye pesa chafu. Huwezi kukuta mshiriki wa jamiiforums anamiliki vigari vya hovyo hovyo kutoka china. Humu wote tunamiliki landcruisers na...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Habari, Ni wiki moja sasa natafakari baada ya kijana wangu niliyemwamini mno anijibu vibaya usiku nilipomuita sebuleni kumpa onyo ache uhuni na uasherati. Nimelia usiku kucha na bado hajaniomba...
8 Reactions
59 Replies
3K Views
Habari ndio hiyo, Kama anakula tu za wenzake ipo siku watamwambia alete ya ampendaye ambaye ndio wewe mme/make. Ukiona mshirikina jibu ni moja dini kama hatak mwache usije ukawa msosi.
2 Reactions
3 Replies
561 Views
[emoji23][emoji23][emoji23] kwaza nicheke Ilikuwa siku fulani hiyo nilikuwa na stress balaa sasa nikaona sio tabu ngoja nijitoe out nikatoka mpaka sehemu yangu pendwa kwa bendi mzuri CAPE TOWN...
3 Reactions
75 Replies
3K Views
KAMA UTAENDA KUNUNUA DADA POA, ZINGATIA HAYA. Anaandika Robert HERIEL Yule Mtibeli, Kuhani katika Hekalu Jeusi. Mambo haya pengine niya aibu, pengine hayasemeki kwa urahisi, tena hayafurahishi...
77 Reactions
231 Replies
55K Views
Salaaam wana JF, Kama ilivyokawaida wavunjifu wa sheria huwa hawakosekani mahali popote lakini pia hata wale tunaoheshimu mamlaka lazima tuwepo. Taja member waliowahi kula ban hapa JF ili tupige...
14 Reactions
117 Replies
5K Views
Alhamis njema kwa nyote. Siku hii ya leo pokea baraka za utajiri Pokea baraka za majengo Pokea baraka za magari Pokea baraka za fedha na dhahabu Pokea baraka za biashara kubwa kubwa Mwaka huu...
2 Reactions
7 Replies
431 Views
usi mind pindi manzi wako asipo kutafuta siku nzima 😀mtafute wewe kwasababu ndo unaeumia ✅✅
1 Reactions
8 Replies
542 Views
Kumbe bado kuna wanaume wana vaa pichu mpaka sasa licha ya boksa kuwa nyingi wana vaa pichu za kiume na mstari unatokezea kwenye suali kabisa.
5 Reactions
26 Replies
926 Views
Mambo vipi wale vijana wote wenye maini na figo safi kabisa kwa utendaji kazi mwilini, lakini inakuaje wanangu wote wazee wa kamnyweso, wazee wa kula gambe, kula kilaji, kuuchapa mtungi na...
17 Reactions
94 Replies
7K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavojieleza, huyo kiumbe Genta anaongea ongea sana humu kujifanya yeye ndo anajua kila kitu kana kamba viongozi wetu wapenda hawafanyi kazi nzuri vile na...
3 Reactions
10 Replies
687 Views
Hello lads and ladies. Legends! Tupitie flashbacks zetu tukiwa campus notes zina majina yake, vikaratasi vya kuibia majibu kwenye Tests na UE na majina yake. Wakali wa vizenga, dessa, simbi...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Sijakosea najua hili ni Jukwaa la Jokes na nimeweka hapa sababu yanayofanyika ni kama Utani... Nimemsikia Makamba leo katika utiaji wa Saini za mikataba lukuki ambayo itahitaji pesa lukuki za...
0 Reactions
2 Replies
461 Views
Nilikulia na kulelewa Mbeya maeneo ya Majengo na Nonde-machinjioni. (1974-1980). Nikaondoka kwenda kusaka maisha. Nikalowea huko nilikokuwa. Nimerudi majuzi. Daa!! Ooh! Mbeya, my dear Mbeya!
2 Reactions
101 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…