JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mpwayungu Kwa wenyeji wa Tarafa ya Mpwayungu, leo nipo hapa kwa masaa sita hivi, Kijiji ni kitulivu siyo mbaya, leo hali ya hewa siyo mbaya kabisa maana najua wazi kabisa kua, viunga vya Dodoma...
1 Reactions
8 Replies
655 Views
1 Reactions
3 Replies
409 Views
Umeme ukikata ghafla huwa unatamka maneno gani unayotamani TANESCO wayasikie?
6 Reactions
51 Replies
2K Views
It's only in Africa where politicians have a lot of money than businessmen. [emoji17]
1 Reactions
1 Replies
345 Views
Habarini za jioni wakuu.. Bila shaka mko na weekend nzuri kabisa, Kwangu mimi weekend ni mbaya nimekaa leo nikamkumbuka huyu kaka, alikuwa rafiki yangu sana tukaja kupotezana, sijui ntampata...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari wanaJF. Kuna wanasayansi wengi wamepita na wamefanya mengi mazuri, na sifa zao zinaishi mpaka kesho. Lakini Kuna wanasayansi waliogundua kwamba ili mtu alale Ni lazima angalau ajifunike...
3 Reactions
5 Replies
436 Views
Ndoto ya kila Mwanamke ni kuwa na mshikaji kama huyu kwenye msimu huu wa Valentine
1 Reactions
1 Replies
510 Views
Wana jamvi,habari ya muda huu, jamani nina shida na nina mtafuta mwana jamvi mwenzetu anaitwa Castle, picha yake hiyo hapo juu. Popote ulipo castle nina kutafuta sababu nina hitaji msaada toka...
1 Reactions
3 Replies
445 Views
Nimekutana na msemo huu katika pita pita zangu ila nikabaki nasikitika kwanini tumefikia hatua hii. Hii inaonyesha watu wamekwisha kata tamaa ila hapa inabidi tujifunze kitu pande zote mbili...
8 Reactions
78 Replies
6K Views
Ile siku mahususi kwa ajili ya wapendanao imewadia. Yaaani 14 February, hii ndio siku ambayo gest zote nchini huwa bize. Je, unapendwa?? Mara yako ya mwisho kuambiwa nakupenda na mme, mke, etc...
3 Reactions
7 Replies
493 Views
Madegree ya kwenye makaratasi tu, udsm tunamaprofesa na maphd ya injinia lakini wawajawahi kutengeneza ata wembe tu [emoji1787][emoji1787], ata hako kamewashinda kweli aisee afu unataka mm niwe...
1 Reactions
4 Replies
518 Views
Salaaam wakuu. Mimi sio mlevi wa pombe ila Nina kilevi changu, na kuacha haiwezekani.[emoji14] Back to topic. Nmekua mtembeleaji mzuri wa bar ila sasa napata shida linapokuja suala la kuagiza...
7 Reactions
214 Replies
27K Views
Habari zenu. Kuna kitu nimekutana nacho weekend hii kwa kweli sio tu kimenishangaza Bali nilisema nitashare huku labda kuna vya kushangaza zaidi. Tulikua tumekaa sehemu fulani hivi tukilipa...
7 Reactions
25 Replies
4K Views
Wakuu habari za asubuhi? Nafika kazini asubuhi hii, namsalimu jirani yangu ananiambia Tuntufye. Namuuliza hao si wanyakyusa, anasema majina yote ya wanyakyusa yana maana Tuntufye ni -...
4 Reactions
143 Replies
6K Views
Sasa kuna kampeni ya kupata vazi la taifa. Kwa ajili ya utalii na utamaduni tunatakiwa kupata vingi vya taifa. Mti, ndege, ua, mdudu, samaki nk nk. 1. Napendekeza siafu awe mdudu wa taifa 2...
1 Reactions
11 Replies
886 Views
Kwema? Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji, huwa mnawaza nini? Mtu anakuandikia mambo? Unamjibu poa tu. Anauliza tena, Kwema? Unamjibu kwema? Anauliza tena, uko poa...
57 Reactions
595 Replies
17K Views
Mazee Leo tarehe 7/2/2024 ndiyo ile siku nimekuja ofisini alafu kichwa hakina ushirikiano na mimi Suluhisho: Kwakua nimejiajiri, nakwenda lunch ndefu mpaka mpira wa Nigeria na South Africa...
2 Reactions
4 Replies
654 Views
Je, Umegundua duniani kuna vitu mbili mbili? Giza - Nuru Moto - Baridi Chungu - Tamu Nyeusi - Nyeupe Ndefu - Fupi Nene - Nyembamba Nukia - Nuka Usiku - Mchana Jua - Mwezi Tamu - Chungu Mwanamume...
0 Reactions
9 Replies
498 Views
Haiwezekani uko kitandani na BEBI wako halafu umuache tu alale wee uko busy na mtandao. Wengi wana husika hapa...
14 Reactions
585 Replies
54K Views
1. Health workers with their patients. 2. Teachers with their students. 3. Managers with their employees. 4. Shopkeepers with their customers. NOTE THE POINT: Do not defile, desecrate &...
2 Reactions
13 Replies
687 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…