JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wadau ndiyo nimeingia leo JF tangu Friday, je thread gani leo inawika?
2 Reactions
22 Replies
2K Views
A c o o l f l k i n d d g o o d l i d f g r e a t f u l l s ex y n w s h u m b l e g o d f e a r i n g h a h y p e r l o g i c s o c i a l g k s h y lo y a l f r i e n d l y d o un d e r s t a n d...
0 Reactions
9 Replies
947 Views
1. Aifola - Linex 2. Dear God - Kala Jeremiah 3. Me & You - Ommy Dimpoz ft Vanessa 4. Mapito - Mwasiti ft Ally Nipishe 5. Nashukuru umerudi - Recho 6. Leka dutigite - Kigoma All Stars 7...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Thanks a lot jamii forums kwa burudani mnayotupa, mafundisho na furaha katika maisha.. Kusema kweli threads ambazo sitazisahau 2012 ni hizi zifuatazo 1. Matola vs Zomba jukwaa la siasa.. hii...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana MMU Natumaini mko wazima ila wachache wanaoumwa nami nawaombea kwa Mungu awaponye, Leo nimekuja na hoja hii ya baadhi ya watu ambao wanakuwa katika hali fulani ya maisha yaani...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
V.I.P Ni aina ya chupi ambazo zilitawala sana kila mwanafunzi alikuwa Nayo bila kujali jinsia, Maajabu ya V.I.P Kwa wale wana michezo watakumbuka zilikuwa Raisi sana kukatika pale ikweta,Then...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Wadau wana chit chat,mapema leo nilitangaza kutafutamchumba hapa jamvini. Yamekuja mapendekezo mengi na ushauri mwingi. Baada ya kupitia mapendekezo kwa makini na kuyafanyia kazi nimefikia uamuzi...
8 Reactions
244 Replies
11K Views
Habari njema kwa wabahiri kama wewe,nakukumbusha usinunue kalenda ya mwaka 2013,kwani unaweza kuitumia ile ya 1985,1991 na 2002..zipo sawasawa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mzee 1, aligongwa na pikipiki, ikamuangusha chini na kulalamika kwa maumivu, akatokea msamaria mwema akaagiza "MLETEENI MAZIWA!" yule babu kusikia vile akasema "NA MAANDAZI MATATU".
0 Reactions
7 Replies
3K Views
A dog asks a cat "How come I've never seen you cats making love in public?" The cat replies, "Do you want humans to steal our style like they did yours?"
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Macho yako ka mke wa mtu aliyefumaniwa,poa twende xaxa,xaxa,unatembea na demu unatngsha mwenyewe.....,
0 Reactions
43 Replies
6K Views
mwizi acha atoe KALI mahakamani baada ya kusomewa mashitaka yake ya wizi wa SIMU akapewa nafasi ya kujitetea ikawa hivi,"Nilikuwa napita zangu nikasikia simu inaita NIBEBE NIBEBE UNICHUKUE...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heri ya Mwaka mpya wana JF wote! mwaka 2012 JF sikutimiza malengo yangu yote mimi niliingia humu JF ili niopoe mdada angalau mmoja humu lakini jitihada ziligonga mwamba wadada wa humu ni...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Kama unataka kuwa maarufu Tanzania na duniani kote kwa muda mfupi tena bila gharama, chukua kitoto cha nguruwe kakifungie msikitini, piga chata lako hapo, halafu sikilizia. Warning: Don't try this!
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimesoma kwa shida na taabu nyingi, misukosuko na dhoruba ndizo zinazo endelea kunisonga tangu nikiwa mdogo, labda rabsha hizo kwa kizungu ndio huitwa challenges. Mtaa ninaoishi ni wa hali ya...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani huyu member mbona haonekani jamvini kulikoni?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Heheh'ni lip kati ya haya hujawah kufanya utotoni: 1: Kucheza kombolela 2: Kukojoa kitandani 3: Kulamba mafua 4: Kubaka panzi 5: Kulilia nguo za ckukuu 6: Kucheza kibaba na kimama 7...
4 Reactions
32 Replies
7K Views
habari waheshimiwa wa CC? nimeona Mwaka huu nianze na tangazo nililofunga nalo mwaka 2012, kwa salamu kuwa nimerudi na kama kuna mtu alishika nafasi yangu mwambieni mapema am back salamu nyingi...
7 Reactions
67 Replies
5K Views
Mlevi mmoja alikuwa anapita kando ya mto, mara akamwona Pastor anawabatiza watu. Akaamua na yeye kujiunga kwenye foleni, ilipofika zamu yake akazamishwa mara ya kwanza. Akaulizwa ''umempokea YESU...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…