Well, ni siku nyingine tena, ni mwaka mwingine tena katka kusheherekea kumbukumbu yako ya kuzaliwa......! Mungu akupe miaka mingi yenye AMANI, FURAHA na UPENDO.
CC: Arushaone, Jawilat, nitonye...
Today is very special day for you Lady doctor
Few words: We at JF we love you and wish you Happy Birthday.
CC: Moderator Paw Dark City Asprin watu8 measkron charminglady Excel Mzee PakaJimmy...
Habari zenu Wana CC.....???
Nawakaribisha jf doctor kule ili mpate huduma ya kufahamu siku hatari za mwanamke kushika mimba,kujua siku ya kupata mtoto wa kikie/kiume.
Karibuni sana...
Ndani ya meli,watu makabila tofauti walikua na mizigo,meli ilizidiwa ilibidi mizigo ipunguzwe,Mzungu akatupa computer, akasema"kwe2 zpo tele,Mchina akatupa box la cmu akasema"kwetu zipo tele"...
Kuna msichan flani na mzimia kichiz.Kila nikiingizia swaggz always na feli.Imefikia kipindi naisi ananilingia(kisa anajua nampenda).
Wanaforum kiukweli huu ni mwezi wa sita nafanya kazi ya...
Hadi leo jamaa anawaza atarudi vipi kwake, Kamuaga mkewe anaenda China kwa ndege ya Malaysia iliyopotea tena akasindikizwa hadi airport, kumbe kazama mtaa wa tatu kwenye nyumba ndogo sasa ndege...
SEVEN DAYS OF
KARALINA (SIKU SABA ZA
KARALINA) [1]
MTUNZI: Mysterio Hamic
CONTACT: 0714 499248
EMAIL:
mysteriohamic@gmail.
com
Twitter: mysterioHamic
Ilikua ni mishale ya saa
saba za...
....ilikuwa hivi
paka alikuwa amezubaa njia panda eneo la mabibo beach boy, hili eneo hukaa, huzurura vijana wengi wasio na bahati ya ajira inayoeleweka
jamaa mmoja akamrushia jiwe kimasihara...
Kwa marafiki zangu wote wa JF,ambao kwa namna moja ama nyingine,mlinikosa yote ni kwa sababu kazi nying kuzitafuta shiling,coz usipofanya kazi kwa bidii,maisha mazuri utaishia kuyaona kwenye picha...
Kuna jamaa wa3 walipanga gesti moja ya kifahari ya gorofa 90. Wakapata vyumba gorofa ya juu kabisa(ya 90).wakawa wanashuka kwa lift asubuhi na kupanda kwa lift jioni. Siku moja walirudi jioni na...