jioni hii kule MMU kuna kasheshe ilitokea kikawaka hasa! mmoja anataka kufa kwahiyo anaomba ushauri mwingine alikuwa ni mtajwa hapo juu akataka kuhoji kulikoni anajichanganya na...
This is u'r special day my dia friend, Mungu akupe maisha mema yaliyo jaa kheri na fanaka,pia hekima na maarifa vikaambatane nawe siku zote. Enjoy u'r fantastik day.
Copied somewhere, just for funny!!!
Siku moja madenge alikua ana njaa lakini hanapesa. Akamuomba mungu" ewe mungu nijaalie niokote japo elfu 2 tu, naapa elfu 1 nitairejesha kwako kama...
Peter goes into a pharmacy and says to the pharmacist
"Hello, could you give me condom? I'm going to my girlfriend's place for dinner and I think I may be in with a chance!"
The pharmacist gives...
tulikua tunapita mbele ya rais leo majira ya saa sita hapa uwanja wa taifa kwenye sherehe za muungano ikabidi tupunguze mwendo kutoa heshima da sasa si ndio ikazima na kugoma kuwaka kila nikistua...
INTERVIEWER: Tell me the opposite of good.
JAMAA:Bad
INTERVIEWER: Come
JAMAA:Go
INTERVIEWER: Ugly.
JAMAA: Fine.
INTERVIEWER: You are wrong!
Jamaa:You are right!
INTERVIEWER: Shut up...
Kituko cha aina yake uwanja wa uhuru mbwa wawili walikaidi amri ya kutulia chini badala yake yakainuka na kumfanya JK kuangua kicheko.
Hivi ni ukaidi, utukutu au hayakufunzwa vizuri?
Yanayojiri dodoma leo hii ni kwamba mpaka sasa milango yote ya jengo la bunge imefungwa,walinzi wapo lindoni,hakuna mtu kuingia milango yote ya bunge imezungukwa na walinzi,hata kama wewe ni...
"Jamanii" nipo kwenye harusi , na
sasa umefika ule muda wa kujitambulisha makabila yetu,
lakini wamesema tujitambulishe kwa herufi nne za mwisho tu ili kuokoa "time",
mchaga amesha simama...
Ni jambo nzuri sana kujua Asili ya jina la sehemu unaishi au sehemu yoyote unayoifahama .kwa mfano mpaka sasa cjui asili ya jina Tanganyika?ilitoka wapi?na kwanini lile ziwa la kigoma likaitwa...
Jamaa mmoja alikutwa na rafiki yake akiishangalia sana Bahari huku akiwa na mawazo mengi sana kichwani mwake,alipoulizwa kulikoni unaitazama bahari huku ukiwa unaonekana una mawazo sana?
Akajibu...
Mzee mmoja alikuwa akiwapa stori madogo flani wa kitaa..
"Siku moja nilisafiri kwenda Australia basi nikaona Kondoo mkubwa kama Land rover (Gari)"
Dogo mmoja nae akaongezea "Mimi baba yangu...
Wamama wawili walijikuta magari yao yamegongana. Wakashuka kwenye gari wakaanza kutoleana kashfa, hasa yule aliyekuwa na vogue akamtukana sana mwenye Kivitz, japokuwa ndie aliyekuwa na makosa...