Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,083
jioni hii kule MMU kuna kasheshe ilitokea kikawaka hasa! mmoja anataka kufa kwahiyo anaomba ushauri mwingine alikuwa ni mtajwa hapo juu akataka kuhoji kulikoni anajichanganya na kuchanganyikiwa...! pakawa hapatoshi kila kijembe kilipigwa lakini mwishowe Eve aliibuka kidedea yani kama ni ndondi Eve kamtwanga mtu kwa TKO