Nisianze kuwwchosha wanaJF. Ebu angalia majina haya na sehemu. Hivi kweli Mto NGONO uliopo Bukoba ungeendela mpaka Pwani jina lingebadila? Je unaweza kujenga CASINO Bukoba mjini ukapata wateja. Je...
Wakuu salaam,
Naomba kujua ni wapi Morogoro naweza kupata chakula safi na chai ya jioni safi-gharama sio shida
Niko Morogoro na nitakuwa hapa kwa siku 7.
Ningefurahi kama ni sehemu karibu na...
SHIDATUPU alikuwa na mkewake lakini kila alfajiri SHIDATUPU alikuwa anajamba kwa nguvu kwa makusudi kabisa.Mkewe alikuwa anachukizwa sana na tabia hiyo alimwonya mara nyingi lakini SHIDATUPU...
Gazeti la Metro la hapa London limeripoti kuwa Punda huyo aitwaye Marco amechaguliwa na chama cha New Bulgaria kuwawakilisha katika uchaguzi.
Imeripotiwa kuwa chama hicho...
Panya alimeza kipande cha dhahabu mwenye
dhahabu akachanganyikiwa na kuamua
kumkodi mpelelezi mmoja ili aje amuue panya
aliyemeza dhahabu. Mpelelezi alipofika alikuta
panya zaidi ya 500 lakini...