JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mama mmoja alikuwa anaishi na mwanawe Dogo na mama yake mzazi. Siku moja Dogo akipigwa na bibi yake akaamua kupiga kelele. DOGO: Heri ufe tu wewe........... Mama yake akamsikia MAMA DOGO...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mke:Baby nimeota umeninunulia cheni ya dhahabu Mume:Rudi usingizini ukaivae..
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Thread hii mtafute member yoyote wa Jf aliepotea na umemiss mie naanza kwa kumtafuta BAK mara ya mwisho nilimuona akielekea Angaza hadi leo amekua kimya sana ujumbe: Milima haikutani binadam...
13 Reactions
350 Replies
22K Views
niyaje wadau wa jf
0 Reactions
2 Replies
761 Views
Wanawake bwana kwa kulamika hawajambo.Eti ooh nlibeba mimba miezi tisa..,mbona sisi tumebeba map*mbu tokea wadogo na hatusemi. Au mnasemaje???.
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Katika pita pita nimekutana na hii kweli imenichekesha na kuniongezea siku 'Uzee mwisho facebook ukija jamii forums utasikia baby" hebu share hapa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu mimi nilikuwa sijui kwamba kunateknolojia ya kugundua kwamba mtu anamiliki multiple ID bali nikiona comment mbalimbali watu wakufukunyuana kuwa Flani ID yake nyingine ni hii .Wengine wakiona...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kawaida sisi wengine hatunaga maneno mengiiiii kazi yetu kufikisha ujumbe.Kila mmoja leo anatakiwa a edit profile yake ili iweze kuonyesha jinsia yake na umri wake.Nasema tufanye hivi ili...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Wana jamvi wasalaaaam! Wana jamvi kama mmtakuwa wafatiliaji wazuri mtagundua nimepotelewa na akananas wangu( Paloma na Passion Lady), yani mwanzo nilidhani kumpiga ban sosoliso na Excel...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Kichwa cha habari kinajieleza. Nina Pesa za kutosha nina pesa za ila mtu wa kutumia nae mpaka nihisi nachunwa haonekani.
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Wadau wote wa MMU asalam aleikum... bwana Yesu asifiwe... Amang'ana ghenyu...habari zenyu...mwangaluka kinehe lolo...wagambaki waitu...mpola zani...habari zenyu bwanshee...saita...ndaga fijo...
23 Reactions
94 Replies
7K Views
Tegua Kitendawili Hiki Ili Tuone Kama Unaweza Kufikiri Kwa Makini. Kinasema: "Mimi Niwakwanza Dunian Na Wapili Mbinguni, Huwa Natokea Na Kuonekana Mara Mbili Kwa Wiki, Lakin Waweza Kuniona Mara...
0 Reactions
23 Replies
13K Views
i dedicate this song to you....BASI NENDA by MO MUSIC "basi nenda na mimi nitafute sababu ya kuridhia........sawa nenda na mimi nitaudanganya moyo utatulia...." i love the song!
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Na kimvua hiki na baridi hii jikoni , kwenye corridor au store ya ofisini wengine ni fasta kabla hawajatoka nje na wengine kwenye meza ya mapokezi au popote panapofaa Ni kikombe cha kahawa na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
jaman me nawapendanga wa2 wote hata wawe na kasoro kias gan! au nyie mnasemaje???
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Naweza pata wapi Blanketi la Nyama? Niko kinondoni,
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Leo ni siku muhimu sana kwangu baada ya kutimiza miaka kadhaa. Mungu U-mwema siku zote nitakutukuza hakika...Amen.
7 Reactions
79 Replies
4K Views
licha ya makatazo kutokana madhara lakini vifuatavyo vinapendwa sana na kutumika bila kujari matokeo why:- 1. Rushwa 2. bange 3. nguruwe 4. kabaaang 5. sigara 6. mke wa mtu 7. Pombe 8...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu embu leteni mawazo yenu hapa!!!:rain:
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Uzee mwisho chalinze http://youtu.be/dIsLsDXXJUE
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…