JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo nimeamka nikajiuliza hili swali. Maisha hayako fair kabisa, kuna mwingine buku 5 tu tayari analewa, na kabla ya kuzuia viroba buku tu ilitosha kufanya mtu apate starehe hio. Kwa upande wangu...
1 Reactions
42 Replies
1K Views
Afadhali hawa Tigo wamebadilisha hili lililokuwa lisha kuwa na maana ya kishenzi Sema yaaaas Maana sisi mwenye mishe zetu ilikuwa inatukata kweli "Naomba Tigo? "unatigoo hapo? "Tigo unatoa...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Bila shaka maison club ndo club ghali nchini Tz na yenye hadhi ya five star yani nyota5. Hii night club ipo masaki mtaa wa sea cliff. Maison huwez ingia kizembe lazma ufanye booking kama guest...
16 Reactions
219 Replies
25K Views
The term "Yass" (or "Yaaas") is a slang expression used to convey excitement, approval, or strong agreement. It is often drawn out to emphasize enthusiasm, such as "Yaaas, queen!" Origin: The...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Vipi wakuu, mimi hapa napitia contact list yangu Kuna baadhi ya contacts sizijui kabisa na sikumbuki nilizipata vipi na wapi. Kuna mmoja nimekuta nimemsave "muuza madela" ila sielewi chochote.
0 Reactions
5 Replies
498 Views
Hiki kigari kidogo cha joto kisichokuwa hata na airbag wala accident proof measures za msingi kama automatic turn signal na object detectors CHA AJABU huku nyuma kameandikwa IST na natamani sio...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
wakuu,, Kuna manzi inasema niitumie nauli ije kutoka mko x! Nawasiwasi isije nizima. Mbinu gan nitumie asile nauli wala nikimkatia tiket asiuze
1 Reactions
6 Replies
453 Views
Mimi nimemmisi siku hizi amekuwa adimu Vipi nyie hamjammisi?
4 Reactions
27 Replies
781 Views
Hapa ni baadhi ya matendo ya mtu mshamba Hapa haihitaji elimu kubwa kujua kama huyu mtu ni mpori mpori 1. Kuvaa Yebo na soksi Hapa usiulize sana 2. Mtu asiyetaka kuongeza lugha ya asili hata...
12 Reactions
130 Replies
3K Views
Habari wakuu, Siku mbili nyuma nilikua safarini kutoka mkoa x kuja mkoa y. Safari yangu niliianza majira ya saa 1 jioni kwa usafiri wa bus. Sasa kuna mtu tena mmama nilikua nimekaa nae siti moja...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Kula vizuri hasa mbogamboga na matunda ,kunywa maji ya kutosha ,lala inavyotakiwa , kama una hofu au mawazo jitahidi kuviepuka ukizingatia hivi huondoa ngozi kusinyaaa na kuifanya iwe na nuru Ila...
8 Reactions
13 Replies
957 Views
Habari za muda huu Wana JF! Kuna hali ya mabadiliko imenitokea kwa kipindi cha miezi mitatu sasa sijanywa pombe. Nikiiona pombe, naikinai na najisikia kutapika. Sikuwa na wazo la kuacha pombe...
10 Reactions
141 Replies
3K Views
Kama wewe mtaalam wa chocho na machimbo ya Kigoma. Nipe hizi code Wapi napata 1.Supu nzuri ya samakiiii mkubwaaa😋 2.Kuku chomaaa wa kueleweka😋 3.Kitimoto maridadi kabisa😋 4.Ugali wa lowa😋
0 Reactions
4 Replies
486 Views
Unaambiwa analia sana huko Serengeti anataka kuja Yanga, anadai Mbappe na Halland pia wanaomba nafasi jangwani. Hatahivyo uchambuzi wa kihasibu unasema kuwachukua ni hasara kwani wataishia benchi...
2 Reactions
11 Replies
671 Views
Heri ya siku yakuzaliwa rafiki yetu,mwana chit chat na MMU mwenzetu yna2 Mungu akupe maisha marefu shemela
4 Reactions
49 Replies
3K Views
Kwa kweli nina hoja na mambo mengi ya kupost katika JF ila sioni sehemu ya kupost! Is it because am using a phone or what is the problem?
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habarini Wana Dodoma, nimeingia hapa jijini Leo jioni toka Mbeya,mwenye kujua location ambayo naweza kupata chakula Cha kitofauti kabisa mathalani ugali wa mtama au uwele na nyama ya punda...
5 Reactions
19 Replies
743 Views
Inaonekana yule Steve msemaji wa waigizaji amemchapa Haji Manara na hapa anapewa pongezi. Tupate habari kamili. Kutoka kwa Jemedari Said
1 Reactions
3 Replies
521 Views
Back
Top Bottom