Habari zenu,
kwa wadada walio kwenye ndoa, ukitaka kujua penzi lako si kitu tena kwa mwenzi wako, muandikie ujumbe huu sasa hivi bila kujali upo wap/yupo wp na anafanya nini,muandikie hivi then...
wakuu, habari za jioni? kama mtakuwa na kumbukumbu vizuri, mtakumbuka kuwa kulikuwa na huyu bidada aliyeitwa consolatha hapa JF, alikuja moja kwa moja kutueleza juu ya usagaji, jinsi alivyoingia...
Wana MMU,
Mpendwa Paloma ni mgonjwa!
Amepewa bed rest kwa siku kadhaa na amepima vipimo vyote ugonjwa hauonekani.Inshallah!-mwenyezi Mungu mwingi wa rehema atamjalia apone haraka.Lets keep our...
nikiwaangalia wadada wanavyopita mtaani na vipedo,jeans,nusu uchi mi naona tu makahaba for real mwanamke yule anayejitambua hapendi ya dunia,ana dress smart ,mtu wa mungu na always anajiheshimu...
Nimeweza kufwatilia kumbukumbu za ukoo wangu na zinaonyesha kwamba tuko kwenye Ardhi hii ambayo leo ni TZ tangu mwaka 1780 kudadeki, wengi wenu najua mtajaribu kurudi nyuma na mtagota kwenye mwaka...
Wallah tenaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Kupenda si mchezo lakini kupendwa pia sio mchezo hasa ukipendwa na mtoto mzuri, wife material kama Mom Fay, tulia mama naona wanafiki wamekua wengi na wengine...
Jamani wana jf naomba niwaambie kwamba sijawahi kumwona mwanamke aliye mrembo halafu mfupi,kwani hata wale wanaoshiriki mashindano ya mamisi wanawake wafupi sijawahi kuwaona,aliyewahi kumwona...
Wana ukumbi wa JF, kwa yeyote anaemfahamu mmoja (au wote miongoni) kati ya hawa wafuatao naomba ani PM.
1 Gladith Kirey (kuna kipindi alikuwa anafundisha Jangwani Sekondari Dar).
2. Bertha...
Najua this tym beautiful onyinyez mko macho, kama vp nipm namba yako tuchekiane whatsapp coz sina usingiz hata chembe.
Note: chatting is just for tonight, not otherwise.
Hapa jamii forum kuna wanawake sijui wanasichana maana nashindwa ata niwaiteje wako humu time yote wanasaka wanaume wala hawana mpango wa kuolewa...!
katika harakati zangu za kutaka kutimiza...
Ilikuwa nishuke mikocheni nikapitiliza hadi kawe. Nilipofika moroco likasimama dede nikashindwa kuinuka kwenye siti nimegeuza na daladala nikashuka baada ya kupoa. Nashangaa maana nimeshughulika...
Hi, naomba msaada kwa anayejua kukatisha wimbo mfano wimbo kama Spanish guitar wa Toni Braxton nataka chorus yake iwe ring tone sema unaanza na verse. kama kuna application au anything unafanya I...
anajamvi hiyo ni kauli ambayo nimekumbana nayo mara nyingi hasa kwa binti ambaye kweli ninampenda,Nashindwa kuelewa unamwomba akupe nafasi ya mahusiano yetu yale anakupa hilo jibu,
Je...