Yani kiukweli nikiwa mbali na mpenzi wangu afu akiwa ananiambia maneno hayo,huwa najickia raha sana na kujihisi kama huu ulimwengu wote ni wangu.kupendwa raha sana jamani!!
Polen sana na majukumu mazito wana MMU
Nimekuwa nikisikia hizi habari mara nyingi kwa washikaji eti unaweza kufanya sex through phone na sikuamini sasa mm pia naona yananikuta.
Hivi majuzi...
Wakati shule nyingi hazina maabara,hazina library,hazina madawati,hazina walimu,hazina madarasa ya kutosha,shule hazina umeme,Bukoba vyote hivyo vipo na zaidi kuna wireless internet,akina...
Bustani ya edeni ilikuwa ngorongoro na sayansi inathibitisha kwakupitia dr leky na zinjathropas.ila wazungu kwa hila zao wakachakachua nakupotosha.karibuni kwa mjadala
hapa siulizi maana ya jina umchagulialo mtoto manake mengine huwa yanawaletea taabu/shida/madhara....au MAFANIKIo
Nachokiangalia ni mwelekeo wa majina ya watoto kufanan kwa herufi ya awali...
Unampenda hakupendi!! hakika leo ni mwisho . Twende sawia ujue jinsi gani akupende!!! MBINU RAHISI: 1. lazima ujue nyota ya upendaye au anayemtaka na alama ya nyota yake.2. Ubani mashtaka,sindano...
Hivi wadau inawezekana pesa za walala hoi zaidi ya b.100 zikaliwa tu na watu ambao hakuna wanachofanya BMK?
Jamani waTanzania wanalia sana magojwa kibao, barabara mbovu, madawa hakuna...
Kumekuwa na tabia ya makonda wa daladala hasa wakati magari yapo kwenye foleni au kwenye traffic lights kusema wanaomba kazi kwa madereva wa kike.
Nimeshuhudia hili mara nyingi sana na mashosti...
Jamani leo mapemaa kwenye saa 4 hivi asubuh kabwela mwenzenu baada ya kunywa supu nimeamua nianze mapemaa mambo yetu yale kwa kutoa lock kwa KILIMANJARO bariidi...
sasa ndo nikaanza kuwaza...
katika kuhangaikia uzima, Ndungu yangu mmoja amejikuta akielekezwa kwa Mganga wa jadi. amerejea ananieleza kuwa Mganga yupo Makini anatumia mizimu, kuna bibi na babu wanaongea kupitia kibuyu na...
1. The reasons pornography is not wrong.
Pornography isn't wrong because sex is bad or the body shameful. It's wrong because sex is good and the body magnificent! As Christians we must never...