Mwelekeo wa Majina ya Watoto 2020

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
3,272
2,000
hapa siulizi maana ya jina umchagulialo mtoto manake mengine huwa yanawaletea taabu/shida/madhara....au MAFANIKIo
Nachokiangalia ni mwelekeo wa majina ya watoto kufanan kwa herufi ya awali
Utakuta idadi ya watoto katika familia wote majina yao yanaanza na herufi moja

D5 (deo, debora, derik, damasi, daudi
G4 (gerald, gema, gemin, gama)
P3 (Paul, peter na pendo)
C2 (catherine, caroline)
L (loverbird)

Hivi kwa mwaka huu jina gani LIMEVUMA sanaaaa (like color of the year???)
 

mirisho pm

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
3,666
2,000
Majina ya watoto si fasheni ndugu yangu, we panga upangavyo kama wewe ni mkristu majina yanaangalia sana siku aliyozaliwa mtoto, unalinganisha na mtakatifu wake, au ukiwa mtu wa kudumisha mila una mpa jina la baba au mama , then inaendelea, au unampa jina kutokana na matukio makubwa kwenye maisha yenu, lakini all in all majina ya watoto yanaangalia zaidi tarehe alizozaliwa mtoto..haya mambo ya d5 cjui z4 itawatokea puani na huu upuuzi upo kwa hawa mademu na ma braza wanaoona fashion kwenye kila kitu..achana na majina ya fashion kwa watoto ndugu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom