Ndugu Wanajamvi! Wasalaaaam...
Kusimama ktk kundi la watu na ukaongea kitu (POINT) Iwe -/+ ni KIPAJI..
Leo nimesimama katika BWALO chuoni kufanya PRESENTATION nilihisi neva za fahamu...
Wasichana Na Wanawake Kuwa Na Maringo Na Nyodo Kwa Wanaume Wakati Wa Kipindi Cha Mvua Na Baridi? Na Ni Kwanini Wavulana Na Wanaume Wengi Wakati Wa Kipindi Cha Mvua Na Baridi Huwa Hawatulii Na...
Kuna sababu nyingi tu zinazonifanya nampenda sana huyo my preatty cute Levina
1:Ana upendo wa dhati kwangu
2: Tunapendana wote.
3: Ananiheshimu.
4; Nafurahia uwepo wake.
5: Anauzuri wa...
Kwanini hapa mjini vijana wengi hupenda kuitana 'Wanyamwezi'? Yaani hadi salamu unakuta wanaitana, mfano unakutana na mtu anakusalimia 'Inakuwaje Mnyamwezi, Au mambo vipi Mnyamwezi!'
Ukiwa...
Nakerekaje kusikia haya maneno kama bwawa vs mnato taiti flat screen vs ukuu wa vilaya fito vs guu la bia kibamia vs hogo kifupi nyundo vs mrefu.Na mengine na mengine mnayojua ongezea ukipenda...
Kwa uchunguzi wangu haya majina yamekuwa yeboyebo sana hapa JamiiForums, yaani kila mtu anataka jina lake lianzie na Heaven au MISS, tumechoka sasa. Kuna mjinga anajiuliza "kwanini wewe ina kuhusu...
Bibi huyu gfsonwin kalikoroga wiki iliyopita kwa kuwazushia cacico, snowhite kwamba ni wajane waliwahi kuolewa na kijana mmoja ambaye aliji suicide kutokana na kuchanganywa na warembo hao. Bibi...
Kama wewe ni mwanaume mwanamziki gani wa kiume akikaa na mpenzi ama mke wako utapata wasiwasi na kama wewe ni mwanamke mwanamziki gani wa kike akikaa na bwana ama mume wako unapata presha sio kwa...
Ukipewa lifti ya gari ukiwa ndani lazima utaonyesha moja ya tabia hizi kubwa mbili.
1. Unakuwa unazungumza sana njia nzima.
2. Unakuwa hujiamini na unajistukia muda wote.
Kisaikolijia hizi hali...
Habari zenu wadau
Hivi huu utandawazi ndio umetufikisha hapa,yaani mtu anatafuta mwenza wa maisha kama anatafuta shamba boy
Ni kweli watu wapo serious kutafuta wenza wao wa maisha kwa style ya...