Pretty simple game:
I'll start naming a song that begins with the letter A, the next person name a song start with the letter B, the next names the song with the letter C. After reaching Z we'll...
Jamaa kanisani yupo karibu na mrembo:
Jamaa: Dada mi nakupenda sana
Mrembo:Kaka naomba tumsikilize mchungaji
Jamaa: Nipe nafasi uwe mtawala wa serikali ya moyo wangu
Mrembo: Kaka niache nisali...
KABLA YA NDOA MAMBO HUWA HIVI
Mme: Ooh! Nataka sana iwe hivyo.
Mke: Vipi, wataka niondoke?
Mme: Hapana hata kidogo.
Mke: Unanipenda?
Mme: Ndo maana yake
Mke: Utakuwa na mpenzi mwingine...
Salamu,
Jamani mmepotelea wapi ? Mimi miss you girls kwa mingi mingi sana. Nimewakumbuka sana sijawaona jamvini. I love you all my sweethearts. Many Kisses ziwafikie popote mlipo. Mwaaha Happy...
Nyumba moja waliyokuwa wakiishi baba na mama, kulikuwa na panya waliokuwa wakisumbua. Mke akamwambia mume 'tafuta mtego wa panya tuwatege hawa panya, wanatumalizia nguo ndani.'
Mume akanunua...
Musa alitaka kupima uaminifu wa rafiki yake walioshibana toka utotoni. Akatunga safari. Akamwambia amepata safari ya kwenda ng'ambo, itakayochukua miaka 10 mpaka kurudi.
Akaamua kumfunga...
(1)Mkude aliliwa na simba kwa mbinde saana, alifukuzwa na simba toka porini akaja kuliwa mlangoni kwake!
(2)Mkude aliovatekiwa na mloka kwa mbiiinde saana, aliongoza ligi toka matombo akaja...
Nakumbuka enzi zile nikiwa bado chalii mdogo tulienda sehemu fulani palipokuwa na ubwabwa wa shughuli. Basi tukajikusanya kama watoto watano hivi, kisha bonge la sinia la ubwabwa likatua...
Jamani jamani. Eti hivi ndivyo mahojiano yalivyoenda:
Mpelelezi: Hebu soma Biblia kitabu cha Tito 3:2.
Gwajima: Kwa Ujasiri, 'Wasimtukane mtu yeyote, wasiwe wagomvi, wawe wema, wakionyesha...
Salaaam wana JF!
Pamoja na kuwa nimesoma soma kuhusu Dar es Salaam. Sasa nimepata bahati nakuja huko ijumaa hii, naomba ushauri nizingatie kitu gani, ntafikia kwa ndugu yangu atanipokea stand...